Wakubwa naaamini hum ndani Kuna watu wa wa TCRA au wizara husika , haya makampuni ya simu ni kama yanajiendeshe yenyewe / yanajiamulia mambo hizi ni kero kwangu imekuwa to much
1.kifurushi kuisha mda
Kitendo Cha makampuni ya simu kusema et kifurushi kimeisha mda wake ni wizi kama wizi mwingine ,SISI ni watanzania kipato chetu kidogo .naunga kifurushi Cha mia Tano bahati mbaya cku imeisha cjaongea na mtu et naletewa ujumbe kimeisha.hzo pesa zinaenda wapi( hum Kuna wakubwa jaribunii kuwaza je? Serikali Huwa Inapata hizo pesa
2. Baadhi ya vifurushi kuungwa lakin h
avifanyi kazi
Baadhi ya makampuni,unaunga kifurushi Cha mitandao yote ukipga cm unambiwa hakuna Salio
3. Kuna wafanyabiashara Wana lipa Namba ,mtu ananunua bidhaa kwa lipa Namba alafu huyo mteja anarudisha muamara bila lidhaa muuzaji
4. Utapeli uliokithir
Baadhi ya makampuni ya simu upo uwezekano Moja kwa moja ,why nasema baaadhi ya wafanyakazi
Inawezekanaje unapigiwa simu na TAPELI na kukutajia kiwango sahihi Cha pesa kilichomo kweny account
Na
5.makato yamekuwa makubwa sana ,naomba sana mtaani hakuna pesa makato ya simu ukiwa unatoa pesa makato ni makubwa sana
Mambo ni mengi sana tunaomba wahusika mtatue malalamiko