Kumbe Mfumo wa app lock muanzilishi ni Infinix sio Samsung

Kumbe Mfumo wa app lock muanzilishi ni Infinix sio Samsung

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Infinix _20260824_084043_0000.png


Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ??

Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy kuwa sehemu kubwa ya Android, baadhi ya watengenezaji simu walikuwa tayari wanakupa uwezo wa kufunga apps moja kwa moja kwa PIN, password au fingerprint. 👀

Hapa tunazungumzia App Lock ya kawaida kabisa yaani unachagua WhatsApp, Gallery, Facebook n.k. halafu kila app inaomba PIN/password/fingerprint kabla ya kufunguka.


🌐Mpangilio huko hivi:
🥇 Infinix alianza mwaka 2017 kwenye XOS.
🥈 TECNO App Lock kwenye HiOS.
🥇 Samsung kupitia Knox → Secure Folder haikua na app ya kawaida Kabisa.
🤖 Google Pixel ilianza 2024 kupitia Mfumo wa Private Space ikiwa na Android 15.

Kwaiyo INFINIX ndo muanzilishi wa Mfumo wa App lock 😁 na Google Pixel ndo mtu wa Mwisho kabisa..au wewe unasemaje??
 
Back
Top Bottom