Ulikuta nini kwenye simu yake na kikabadilisha kabisa jinsi unavyomuona mpenzi wako?

Ulikuta nini kwenye simu yake na kikabadilisha kabisa jinsi unavyomuona mpenzi wako?

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Naomba nianze na mimi

Mimi alinipa simu yake nimuungie bando la Airtel

Nikaona text imepop up kwa juu imeandikwa "Happy Anniversary baby, Cant wait to see you tonight"

Nikameza mate nikanyamaza, sikumwambia chochote. Wiki inayofuata nikamtoa out, nikamwambia nilichokiona kwenye simu yake. Mwanzo alikataa ila baadae alikubali kuwa anadate na mwalimu wake wa chuo

Penzi likaishia hapo!
 
Kwann ukague simu ya mpenzi wako??

Kama unapendwa amini kuwa unapendwa na mnapendana. You don't have to pry into their phone, to prove Love.
 
Ndugu Payge na Cookie tafadhalini sana mwambieni ndugu Maxence Melo mtengeneze algorithm ambayo ikiona neno fulani kwenye heading ya uzi, basi A.I iupeleke uzi husika kwenye jukwaa husika.

Inakera upo jukwaa la siasa unakutana na uzi wa mahaba, na sisi wengine tunaopata notification ya uzi mpya jukwaa la siasa unafungua mbio mbio kumbe no mapenzi/umbeya/michezo!
 
Sishiki simu ya mtu kwanini nifanye hivyo.
 
Ndugu Payge na Cookie tafadhalini sana mwambieni ndugu Maxence Melo mtengeneze algorithm ambayo ikiona neno fulani kwenye heading ya uzi, basi A.I iupeleke uzi husika kwenye jukwaa husika.

Inakera upo jukwaa la siasa unakutana na uzi wa mahaba, na sisi wengine tunaopata notification ya uzi mpya jukwaa la siasa unafungua mbio mbio kumbe no mapenzi/umbeya/michezo!
I second you!
 
Kabla haujafa ni lazima uwe na simulizi za kiwango chako hadi wanaokusikiliza wakuonee wivu bila kujali ni za kufurahisha au mateso.
 
Back
Top Bottom