TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Huwezi kuwa na siri nzito za matukio ya Oktoba mwaka ule, halafu waukuache tu unarandaranda mitaani.
Sio title ya balozi tu, pia anaweza kutunukiwa jina jipya la kwendea mbinguni kwa babaNa hiyo title ya "balozi" inaondoka soon.
Tujiandae tu kumwita Ndg Ema Nchimbi.
Wamewatesa sana wapinzani, sasa ni zamu yao kutesana wao kwa waoAtajua mwenyewe
Kwani alikua hajui?on the 1st place why ukubali nafasi wakati unaiona hali halisi?
Watakulana hakuna atakaebaki salama
Yeah, hilo linawezekana kabisa.Sio title ya balozi tu, pia anaweza kutunukiwa jina jipya la kwendea mbinguni kwa baba
Wauaji hawana huruma,huenda wangemhurumia.
Kama alivyofanya hayati Ndugai.
Bora hiyo hata Slaa waliichukua ila tu wasimpoteze kama Soka au Saanane au polepoleNa status ya ubalozi ipo hatarini
Ukatoliki wake umemponzaHuwezi kuwa na siri nzito za matukio ya Oktoba mwaka ule, halafu waukuache tu unarandaranda mitaani.