Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

Hiyo title inamsaidia nini

A VP is missing for 4 days na bado tunaona nchi ipo sawa kiusalama ?

Haya mambo hayajawah kutokea
Tunapoteza heshima kama Taifa , yaani a VP kapotea

Kwakweli haya mambo sio ya kuangalia ni isharq mbaya kwa Taifa

Hakuna usalama na hata top investors hawezi ku invest nchi kama hii
Yaani VP kapotea
Dah

Endeleeni kuona ni hujuma but nchi imeshapoteza heshima na muelekezo
Mbaya sana
Wacha watifuane. Vita vya panzi humfanya kunguru kukenua meno yote 32.
 
Wala usiwe na wasiwasi. CCM ilipofika haiwezi kurudi tena kwenye mstari. Ukishaona suluhisho la tatizo la mtu anayekusumbua ni kumuua na ukaua, basi huwezi tena katu kuacha. Utaizidisha. Sijui ni kwa nini ila damu ya binadamu inakuwa kama inalevya. Huyu kibibi akiweza kuhimili mpaka 2030 nitashangaa sana sana. Hata mwalimu wake Mkwere kuna siku atajichanganya tu na watampata.
Yeah ulichosema hapa ni kama kisa kilichowahi andikwa na William Shakespeare kwenye mchezo wa kuigiza jukwaani unaoitwa Macbeth
 
Back
Top Bottom