Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

Kama ni kweli nitaendelea kushangaa kuona watu hata waliokulia ndani ya CCM wanavyozidi kushindwa kusoma alama za nyakati na kujiandaa kuepuka dhahma ya hilo zimwi la Frankenstein (Frankenstein Monster) kwa wakati muafaka.

Wameunda na kulea Chama dola chenye mfumo wa kidhalimu, unaotesa wananchi na kuwanufaisha baadhi yao wanaofikiri kuwa ndio "wenyewe wenye chama chao" kwa zamu kisha, hatimaye, kuwala taratibu kwa zamu.

Kamwe haitatokea kuwe na amani, haki wala maendeleo ya kweli nchini kwa muda wote chama hicho kitakapokuwa madarakani kama kilivyo. Na wanaojiona ndio wenye chama na wapambe wao wataendelea kuishi kwa njozi (illusions & delusions) hadi maafa yawafikie kwa wakati wao.

Na wale wadau wanaojidanganya kufikiri kuwa ni tatizo la udini au muungano (nje ya hicho chama) nao wajiandae hatimaye kufikiwa na ukweli utakaobomoa hizo delusions zao.
 
Na hiyo title ya "balozi" inaondoka soon.

Tujiandae tu kumwita Ndg Ema Nchimbi.
Hiyo title inamsaidia nini

A VP is missing for 4 days na bado tunaona nchi ipo sawa kiusalama ?

Haya mambo hayajawah kutokea
Tunapoteza heshima kama Taifa , yaani a VP kapotea

Kwakweli haya mambo sio ya kuangalia ni isharq mbaya kwa Taifa

Hakuna usalama na hata top investors hawezi ku invest nchi kama hii
Yaani VP kapotea
Dah

Endeleeni kuona ni hujuma but nchi imeshapoteza heshima na muelekezo
Mbaya sana
 
Sisi wapenda mabadiliko tunatamani kuwaona wanaendelea hivi hivi kushughulikiana. Wamewaumiza sana wapinzani (hasa wale wa CHADEMA). Ni vizuri pia wakianza kuumizana wenyewe kwa wenyewe
Wala usiwe na wasiwasi. CCM ilipofika haiwezi kurudi tena kwenye mstari. Ukishaona suluhisho la tatizo la mtu anayekusumbua ni kumuua na ukaua, basi huwezi tena katu kuacha. Utaizidisha. Sijui ni kwa nini ila damu ya binadamu inakuwa kama inalevya. Huyu kibibi akiweza kuhimili mpaka 2030 nitashangaa sana sana. Hata mwalimu wake Mkwere kuna siku atajichanganya tu na watampata.
 
Back
Top Bottom