Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

Sema amekataa kutamka "Nimekosa mimi,nimekosa Mimi" huenda wangemhurumia.
Kama alivyofanya hayati Ndugai.
Na huenda ndicho walichomtaka kwenye Kamati ya Maadili.
Kila siku tunawaambia ccm chama cha majangili hamwelewi, ndugai mwenyewe walimfyeka, pole pole walimfyeka, huyu nae anaenda kufyekwa...ukionekana tu unatetea maslahi ya wengi unakwenda na maji, this country is being run by a group of very few goons accompanied by crazy morons who are brainwashed to do whatever it takes to protect their master..they kill anybody's who is gonna be on their way...Just Imagine Mtu kusema Tanzania daini katiba mpya ni tatizo ? Hii katiba mpya mbona haitakwi na haitakwi Kwa nguvu kubwa sana...WHAT IS GOING ON ?
 
Awe makini sana Balozi Dr Emmanuel Nchimbi ,Wahuni siyo watu wazuri.

Ningemshauri kabla ya kumuandikia Rais barua na yeye kutangaza ,angeandika akiwa nje ya TZ...Akae huko mpaka asubiri Upepo upite hata miaka miwili ndiyo arudi TZ.
 
Back
Top Bottom