Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Vodacom Tanzania, mmewasajili matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation
Kupata huo usajili inahitajika documents za kampuni na barua yenye mhuri wa kampuni na barua ya utambulisho wa mfanyakazi ambaye kitambulisho chake kitatumikaVodacom Tanzania, mmewasajili matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation
Huyu hapa na namba yake ya simu 0665935796Kupata huo usajili inahitajika documents za kampuni na barua yenye mhuri wa kampuni na barua ya utambulisho wa mfanyakazi ambaye kitambulisho chake kitatumika
Itakuwa ameghushi nyaraka... Kama ni halisi Mo aje ajitetee
Kasajili kwa jina lake binafsi
Yes ni dada tapeliKasajili kwa jina lake binafsi
Mo anawajibika kusafisha reputation ya taasisi yakeItakuwa ameghushi nyaraka... Kama ni halisi Mo aje ajitetee
Atakuwa Mo anakusanya Pesa za kununua Wachezaji wa Simba🙂😉Vodacom Tanzania, mmewasajili matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation
Hatari sana mazeeTapeli ananidai kodi kwenye nyumba yangu..Matapeli ni wengi sana .