nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Mkataba ulikua wa miaka 3. Uliishia ile tarehe 31 mwezi wa 8 Leo napigiwa simu na mwajiri kua haongezi tena.. Hii ni mara baada ya kuingiza mshahara wa mwisho. Nilimuuliza kwa iyo kazi ndo imeisha anajibu kua.. hajui.
Sio mtaalamu sana wa sheria, hivi utaratibu alioutumia ni sahihi? Kwisha mkataba sio alipaswa aniandikie barua?
Siku ya tarehe 5 aliinita kuniuliza kama nina Nia ya kuendelea nikajibu ndio. Tulikubaliana kua ataongeza lakini Leo amesema kua amefikiria vinginevyo. Kwa kua hua tunatabia ya kwenda NSSF kuuliza michango yetu hiyo kwake amedai ni kua hatuna shukrani kwa hiyo ameona asiongeze mkataba mwingine. Hi imekaaje? Asanteni.
Nimeprint bank statement nimekuta miezi 5 aliruka ruka kwa kipind chote cha kazi na NSSF miezi mingi kama 19 hajapeleka michango.
Nipo njia panda juma 3 shule inafunguliwa nifanye nini? Asanteni.