Injini ya meli kubwa iliharibika, na hakuna alieweza kuitengeneza, wakaamua wamtafute fundi mwenye uzoefu wa miaka 30, alipofika akaiangalia injini yote kwanzia juu hadi chini, baada ya kukagua kila kitu akatoa nyundo ndogo iliyokua kwenye begi lake akagonga sehemu flani ya injin kidogo sana...
Note : 18+
MKE WANGU, RUDISHA MOYO WANGU
Awamu ya Kwanza: Siri ya Kivuli
Nilisimama mbele ya dirisha la ghorofa ya tatu nikiangalia mitaa ya jiji kwa tahadhari. Taa za barabarani zilimwaga mwanga hafifu juu ya barabara yenye watu wachache. Moyoni, nilijua sikuwa salama—na wala si kwa sababu ya...
Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaa😀
“Everyday” wa Phil Collins
Wimbo “Everyday” wa Phil Collins ni mojawapo ya nyimbo zenye hisia nzito zinazozungumzia maumivu ya moyo baada ya mahusiano kuvunjika. Wimbo huu ulitoka mwaka 1993 katika albamu yake Both Sides, ambayo ilijulikana kwa mtazamo wake wa kibinafsi na wa kina wa hisia...
HADITHI FUPI - S01E01
"KANGA" - [Rudisha Kwa Mhusika]
Mtunzi. Xavery Luoga (Mkandarasi)
Na. +255672493994
___________________
Atuganile Chamse, mrembo aliyeshindana na mumewe kwa muda mrefu, muda huu alikua anamalizia kupanga vitu vyake kwaajili ya kumkimbia huyo mumewe. Safari yake ya siri...
Simulizi: My family
Sehemu ya pili
Mtunzi: Kijana Masikini
ILIPOISHIA
"Daa Qashy nae akapanda bodaboda na kumpa ishara dereva aifate pikipiki aliyopanda yule mzee. Muda huo watu walikuwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida, mimi nikaenda sehemu aliyotupa simu...
Simulizi: My Family
Sehemu ya kwanza
Mtunzi: kijana Masikini
UTANGULIZI.
Wamakonde tunasema "nnume alage mmahe anyete"
Yaani "Mwanaume apambane hadi kukonda ili mwanamke anenepe"
Simulizi hii ni zawadi ya valentain day kwa mtu mmoja humu jamii forums,
Kama olivyo kwa konde boy ndivyo ilivyo...
Wakuu napenda sana simulizi.
Hii simulizi mhusika alienda kijijini kwa babu yake. Akaenda kuishi pangolin siku tatu.
Alipewa ufunua na kuona ambavyo wengine hatuvioni. Kwa kifupi ni simulizi ya kweli kwa.mujibu wa mtunzi.
Naomba ambaye anaifamu anitag nayo.
Wasalaam
TENJEE na ZINGOTA
(Sehemu ya 1)
MSITUNI KWA ZINGOTA**
Jengo la lililochakaa katikati ya msitu wa kale uliokauka.
Kulikuwa na wanawake wawili katika jengo hilo, mmoja ni binti mdogo na mwingine mtu mzima.
Binti mdogo mrembo, alikuwa amelala, wakati mkubwa alikuwa mzee sana hata hakuweza...
Awali ya yote kwa yeyote aliyekuja pupa ili kunijibu nina maneno mawili tu, "Punguza spidi", rejea kichwa cha uzi kisome vizuri kisha urejee tena.
Nakiri kwamba sikuwahi kuangalia filamu ya John Wick hapo awali, nilikutana na Posters zake tu ila sikupata muda wa kuitazama.
Siku ya juzi...
Naam Kwa Wale Wapenzi Wa Simulizi Mtumzi Wetu EDGAR MBOGO ametuandalia Kigongo Kingine Hichi Sio Cha Kukikosa Kitakujia Hapa Hapa Jamii Forums,
Kwa Wale Ambao Wamesoma Simulizi Ya (Asali Haitiwi Kidole) Huyu Deusi Frank Nyati Atakaetajwa Humu Ndio Kaka Yake Edgar Na Shemeji Yake Radhia Sasa...
Salaam,Shalom!!
Enyi Wana wa Mungu msomao BIBLIA, ni wapi umewahi kusoma simulizi yoyote yenye utani au mzaha?
Yaani ukakuta Mungu akimtania Nabii wake, au Nabii alifanya mzaha Kwa wafuasi wake?
Hii mizaha na utani wafanyayo watumishi wa Mungu wa Leo wakiwa madhabahuni wanaitoa wapi?
Wana...
Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones, ambaye alikwama kichwa chini miguu Juu ndani ya pango kwa saa 28 kabla ya kufariki dunia.
Alikwama mahali ambapo hakuweza kutoka alikuwa hawezi kwenda mbele wala kurudi nyuma. Baada ya...
NANI ALISTAHILI 🎵🥱
Sehemu ya Kwanza
MTUNZI: Madodi ✍🏼
WHATSAPP: 0655 969 973
Mambo??
Habari??
Hi??
Zilikuwa jumbe tatu nilizozikuta upande WA messenger katika account Yangu ya
Facebook Kutoka Kwa Rick. Nilijiuliza 'nani huyu?? Mbona jina jipya simfahamu?' Niliamua kujibu Kwa sms moja
"Safi nani"...
SIMULIZI: NAITWA MUME ZOBA KWA KUMPENDA MKE WANGU.
SEHEMU: 1
MTUNZI: Madodi ✍🏼
Whatsapp: 0655 969 973
Naitwa Iqram, kijana mrefu, mweusi mwenye tabasamu la kuvutia ambalo lilikuwa na uwezo wa kuwatoa watu wasiwasi hata kwenye hali ya huzuni. Nilikuwa na bahati ya aina yake kwa kumwoa Zuhura...
Kuna haya makundi 4 ya wanawake yanafanana sana
Mwanamke mcheza porno
Mwanamke mcheza onlyfans
Malaya anayejiuza
Mwanamke asiye bikira (mdangaji) hili ndilo kundi ambalo wanaume wengi miaka hii wanaoa
Jambo kuu wanalofanana hao wote ni kwamba wanaitumia miili yao ili kuingiza pesa na pili...
Jipatie simulizi za kijasusi
Ambola
Mwamba
The last chapter
Scandal
The football
Peniela
Queen monika
Miss tanzania
Capture or mission
Kiapo cha jasusi
Kikosi cha siri
Dear mathew mulumbi
BY Patrick c.k kwa mfumo wa soft copy PDF mwanzo mpaka mwisho kwa bei nafuu TSH 1500 WhatsApp 0658068872