simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nergomafioso

    Seven days in hell! (siku saba kuzimu)-1

    SEVEN DAYS IN HELL (SIKU SABA KUZIMU) Episode-1 Damu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka pale nilipokuwa nimelala huku damu nyingi zikiendelea kunitoka lakini maumivu makali yalinirudisha chini. Kwa kutumia...
  2. BARD AI

    Kampuni ya Lake Energies yadaiwa kudhulumu malipo ya kazi ya Simulizi na Sauti ya Skywalker

    Mtangazaji mkongwe ambaye ni mmiliki wa Platforms za Simulizi na Sauti ameituhumu kampuni ya Nishati ya Lake Energies (zamani lake oil) kuwa imemdhulumu malipo ya kazi aliyoifanyia kampuni hiyo na kila anapojaribu kufuatilia amekuwa akizungushwa. Kitendo hicho kimefanya afikie hatua ya kuweka...
  3. singanojr

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU). BY ISSAI SINGANO . (Singano jr). DIBAJI Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience inayopatikana Kibaha , kilomita kadhaa kutoka ilipo hospitali ya Tumbi. Ilikuwa ni hospitali kubwa...
  4. BARD AI

    Simulizi mtoto wa miaka 10 alivyobakwa na jirani

    Tarime. Ni unyama, ndiyo unavyoweza kutafsiri alichofanyiwa mtoto mwenye miaka 10, mwanafunzi wa darasa la saba. Amebakwa mara nne kwa nyakati tofauti na jirani yao, mwanamume mwenye miaka 40. Mwanafunzi huyo, mkazi wa Kijiji cha Sanganga, Kata ya Pemba wilayani Tarime, anadaiwa kutendewa...
  5. Bigmaaan

    Simulizi ya Operesheni Mauaji(1970) na Habiba Shaban

    Miaka ya 1970, kulitokea wimbi la mauaji ya waganga wa kienyeji mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Wengi wa washukiwa waliachiwa huru baada ya kufikishwa mahakamani. Ndipo, Kamati za Ulinzi na Usalama za mikoa hiyo chini ya Uenyekiti wa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu, waliagiza wote walioshukiwa na...
  6. tutafikatu

    Simulizi ya Palestina Huru kutoka Mto hadi Bahari

    Mnamo Desemba 1973, rais wa Misri Sadat alitambua kwamba Waarabu hawawezi kamwe kuishinda Israeli kijeshi (baada ya mafanikio yao katika vita vya 1973 ambavyo kugeuka). Saudi Arabia pia ilielewa kuwa haiwezi kugeuza mkono wa Magharibi kiuchumi kupitia kususia mafuta, ambayo ilimalizika Machi...
  7. Montan_ious

    Simulizi: The Oath

    Sehemu ya kwanza Katikati ya msitu mnene, giza zito likiwa limetanda kila kona ya msitu huo alionekana kijana akikimbia huku jasho likimtoka ni dhahiri alikuwa amekimbia kwa muda mrefu sana na alikuwa na hofu iliyopitiliza huku nyuma sauti tofauti tofauti zikimfuata kadri alivyokuwa akizidi...
  8. Greatest Of All Time

    Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

    Wakuu wa jukwaa hili, ni takribani miaka 32 sasa imepita tangu Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama, Luteni Jenerali Imran Kombe alipouwawa na askari polisi mkoani Kilimanjaro. Mengi yamezungumzwa, je ni nini kilitokea na kujiri mpaka 'deep state' ikaamua kumnyamazisha aliyekuwa boss wao...
  9. L

    Hili linasikitisha sana na kufurahisha pia - Maisha Ya Harry Maguire

    🎯HILI LINASIKITISHA SANA NA KUFURAHISHA PIA. By Lackson Tungaraza ♦️Pichani ni mchezaji wa mpira wa miguu katika kilabu ya Manchester United iliyopo Uingereza. Jina lake ni HARRY MAGUIRE na anacheza katika nafasi ya beki wa kati. Harry Maguire alisajiliwa kwa pesa nyingi sana katika kilabu...
  10. Mkwawe

    Mambo ya kuzingatia kwa waleta simulizi na wafuatiliaji wake

    'Chai' Aisee hili neno linakata mdadi sana humu jamiiforums. Mtu ameamua kuleta kisa chake ambacho anaamini kwa uzoefu alioupitia anaweza kuwasaidia watu wengine kimtazamo na yeye binafsi kupata mawazo mapya maana kujifunza hakujawahi kuisha. Binafsi mimi ni mpenzi sana wa simulizi hasa mikasa...
  11. Nyankurungu2020

    Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo. -- “Mpaka nafikia hatima ya kuoa wanawake watatu si...
  12. gstar

    Simulizi: Biashara haramu ilivyosababisha mauaji

    Bado sijapata Title maalum ya hii Simulizi twende nayo hivyo hivyo. UTANGULIZI Kuna jamii ya watu iliyozuka na kuleta sintofahamu miongoni mwa jamii nyinginezo, watu wanaozisaka pesa kwa namna yeyote ile hata ikibidi kumkufuru mwenyezi Mungu, amini nakwambia si kila ukionacho kwa macho kuwa...
  13. Surya

    Simulizi niliyopewa na baba yangu kumuhusu Mungu

    Not entertainment
  14. 5

    Simulizi : Endless Love

    🔓
  15. John Haramba

    Simulizi Maalum za IKULU (Mwinyi, Kikwete, Mama Maria Nyerere...)

    Abdalla Mohamed Tambaza akielezea simulizi kutoka kwa Familia iliyotoa ardhi kujenga Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam. Simulizi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi Simulizi kutoka kwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Abdalla Mohamed Tambaza...
  16. KJ07

    Simulizi ya upendo katikati ya giza

    Simulizi:UPENDO KATIKATI YA GIZA Mtunzi:KJ07 SEHEMU YA KWANZA. ============================ Kuna wakati mwingine katika maisha ambapo upendo huzaliwa katikati ya machafuko na giza la kina. Ni wakati huo ambapo Tunde, msichana mdogo kutoka kijiji kidogo nchini Nigeria, alikutana na mtu ambaye...
  17. McCord

    Simulizi: Fated To die (Mwenye Hatma ya Kufa)

    FATED TO DIE (MWENYE HATMA YA KUFA) SEHEMU YA 01 “Baby, mambo ni mengi nashindwa hata kutulia” aliongea Salome akiwa ameshikilia simu yake, yalikuwa majira ya usiku na alikuwa akiongea na mpenzi wake ambaye kwa muda huo alikuwa maeneo ya mbali na nyumbani kwao. Baada ya kama nusu saa kupita...
  18. W

    Mtoto aliyesaidiwa matibabu na Rais Samia atoa simulizi ya kusisimua

    Mtoto aliyesaidiwa matibabu na Rais Samia atoa simulizi ya kusisimua * Asema watu wazima, watoto walimkimbia kutokana na maradhi yake ya ajabu * Amwaga shukrani kwa Rais Samia kugharamia matibabu yake na kumpa nuru mpya ya maisha Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KIJANA Hamimu Mustapha...
  19. Equation x

    Simulizi za watu wa kale

    Nakumbuka nilipokuwa mdogo, babu yetu alikuwa na utaratibu wa kuwakusanya wajukuu zake wote, na kuwasimulia hadithi mbalimbali; na masimulizi hayo yalikuwa yakifanyika huku tukiwa tunaota moto ili kuondoa baridi, huku yeye akipata kahawa iliyo chungu. Kuna hadithi moja alitusimulia, inahusiano...
  20. Mwachiluwi

    Simulizi ya ukweli penzi langu

    SIMULIZI: PENZI LANGU SEHEMU YA 01 ANZA ...Mkoani Tabora walionekana watu wawili ambapo Kwa kuwatazama tu ni kama vile walikua wapenzi ambao wamuda mrefu sana wakati huo mwanamke alikua ameshika kimfuko kidogo huku mwanaume akiwa ameshika mkono wake wakiwa wanatembea hadi walipofika...
Back
Top Bottom