simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simulizi: Uhuru wa Watumwa

    Na James Mbotela. MUHTASARI WA MAISHA YA MWANDISHI Mwandishi wa kitabu hiki, ni mzaliwa wa Frere Town, Kisauni, Mombasa. Baba yake ni Myao, akiitwa Mbotela ambaye alikuwa mmoja wa vijana wale waliookolewa baharini na Wazungu wa manowari za Waingereza zilizokuwa zikizuia biashara ya watumwa...
  2. Simulizi: Uhuru wa Watumwa

    Unaweza kusoma na kusikiliza kitabu hiki bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo playstore Na James Mbotela. MUHTASARI WA MAISHA YA MWANDISHI Mwandishi wa kitabu hiki, ni mzaliwa wa Frere Town, Kisauni, Mombasa. Baba yake ni Myao, akiitwa Mbotela ambaye alikuwa mmoja wa vijana wale...
  3. Sikilizeni hii audio. Kisha nipeni ushauri. Je, nafaa kuwa muhadithiaji wa hadithi au simulizi?

    Ninaplan ya kuanza kujirecord nikisimulia hadithi au matukio. Hii audio hapa nilikuwa natest tu nione ninavyosikika. Nimeamua kushare na nyinyi mnichane nafaa ?? Niongeze nini??? Nipunguzie nini???? Note: NIMERECORD KWA SIMU, na EDITING ni simu pia.
  4. Simulizi ya Kijasusi: Giza la Wasaliti

    SURA YA KWANZA ASUBUHI YA HEKA HEKA Utangulizi. Richard Dawson, mrakibu mwandamizi wa jeshi la polisikanda maalum ya Dar es salaam, miaka mitano tu tangu ajiungena jeshi hilo, lenye jukumu la kulinda raia na mali zao lakiniilitosha jina lake kusemwa katika korido za makao makuu yajeshi hilo na...
  5. Simulizi: Bosi kapenda mke wa mtu

    KARIBUNI KUSOMA SIMULIZI HII SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa ni siku ya joto na jua kali, huku kama kawaida watu walikuwa wengi, wakiwa kwenye pilika pilika, wengine wakiwahi usafiri na wengine wakishuka kwenye mabasi na daladala wakiwa wamewasili. Wafanyabiashara wadogowadogo walikuwa bize na...
  6. Simulizi : Any solution

    Simulizi hii inaletwa kwako kwa hisani ya binti wa kiroho wa pastor Anni Kaleb. Shuka nayo kama binti anavyomsimulia mamaye wa kiroho...... Pastor Anni acha Leo nikupe story ya Ndoa yangu ucheke maana unaomba sana Mama yangu leo ufurahi kidogo. Pastor Bwana Mimi kiufupi sijasoma, niliishia...
  7. Simulizi za Waungwana: Kuku anayeatamia mayai ya mamba hujitafutia matatizo

    YAI Kwa kuwa alikwa mwanae,Chuwa hakumwita mwizi bali,alimwita mdokozi. Chuwa akasahau ya kuwa, kile kinachofanywa na mwanae hakina tofauti na kilichofanywa na kina fulani ila kwa kuwa mwanae ameiba mboga madhara ya wizi wake yanaiathiri familia tu na kwa kuwa kina fulani wameliibia...
  8. D

    Ni msimuliaji gani kwenye online media ambaye yuko vizuri kwenye simulizi za Kijasusi na Intelijinsia??

    Napenda sana kufuatilia hadithi za ujasusi na Intelijensia ni Msimuliaji gani aliye bora katika eneo hili? Na katika digital platforms anapatikana kwa jina lipi?
  9. Simulizi za waungwana: Si kila asemaye asante basi katendewa wema

    ASANTE Baada ya kugundua mumewe anamsaliti, mke wa chuwa alimtazama mumewe usoni. Akamsogelea karibu zaidi, akambusu shavuni, kisha akamwambia “Asante sana mume wangu” Tofauti na busu la mkewe, ambalo lilimkumbisha Chuwa busu la Yuda kwa Yesu. Asante ya mkewe,ilimweka Chuwa njia panda...
  10. Simulizi za waungwana: Aliyekubeba ndo anayejua uzito wako

    UZITO Licha ya changamoto zilizowakabili, wazazi wa Chuwa walifanya kila wawezalo ili kesho ya chuwa si tu iwe kesho nzuri bali kesho yenye fursa angavu na furaha ya kudumu. Miaka kadhaa mbele juhudi zao zikazaa matunda. Chuwa akahitimu masomo na kupata kazi nzuri. Baada ya kupata kazi,Chuwa...
  11. Simulizi za waungwana: Ukitaka kula na shetani tumia kijiko kirefu

    SHETANI Baada ya msoto wa muda mrefu, Chuwa alifanikiwa kupata kazi. Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa kumlazimisha,achangamane na watu walio kinyume na misimamo yake, maadili yake,tamaduni zake na kila jema alilolijua...
  12. M

    Khalid bin Walid: Simulizi ya Shujaa wa Kiislamu katika Vita

    Khalid bin Walid: Simulizi ya Shujaa wa Kiislamu Khalid bin Walid, anayejulikana pia kama "Saifullah" (Upanga wa Allah), alikuwa mmoja wa makamanda maarufu wa kijeshi katika historia ya Uislamu. Alikuwa na mchango mkubwa katika upanuzi wa Dola la Kiislamu wakati wa maisha ya Mtume Muhammad (SAW)...
  13. Simulizi za waungwana: Nzi hasiyefuata ushauri, huifuata maiti mpaka kaburini

    NZI Licha ya kuonywa na wazee,Chuwa aliziba masikio. Akaendelea kutumia fedha za mabeberu ili kuendesha kampeni zake. Baada ya kushinda uchaguzi na kuingia madarakani,mabeberu wakataka rejesho, rejesho hilo lilikuwa ni kumsainisha Chuwa mikataba mibovu ili wabebe mali za kijiji. Kadri mali za...
  14. Simulizi za waungwana: Kwa asiyejua kusoma,nukta kwake haina maana

    Nukta. Licha ya kuonywa mara kadhaa, Chuwa hakuwa msikivu. Aliendelea na tabia zake, japo alifahamu kuwa tabia hizo zinamuumiza sana mkewe. Siku moja,Chuwa alifanya yake tena. Aliporudi nyumbani,mkewe hakumsemesha. Alimuandalia chakula kisha akaondoka zake. Wakati mkewe anaondoka,macho ya Chuwa...
  15. SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

    ASALI HAITIWI KIDOLE SEHEMU YA KWANZA MTUNZI: EDGAR MBOGO WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247. TAHADHARI: Hadithi hii ya #ASALI_HAITIWI_KIDOLE inayo somwa na mtu mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea, ni hadithi yenye kisa chenye ubunifu kwa hasilimia mia moja, sehemu, mitaa na majina...
  16. Simulizi ya Lucia Bakande

    Sehenu ya 1. Kwa jina naitwa Lucia Bakande, ni binti wa baba msukuma na mama mnyarwanda, mtu anaponichimba kutaka kujua kabila huwa nashindwa nitaje ni kabila gani maana sijui kuongea kisukuma wala kinyarwanda, nilizaliwa na kukulia Dar pahali ambapo wazazi walikuja miaka mingi iliyopita...
  17. Simba wa Mali: Simulizi ya Sundiata Kieta

    Katika karne ya 13, katika ardhi yenye rutuba ya Afrika Magharibi, kulikuwa na ufalme mdogo uitwao Kangaba. Ufalme huu ulikuwa chini ya utawala wa mfalme mwenye hekima na upendo, Maghan Kon Fatta. Alikuwa na wake wengi, lakini mmoja wa wake zake, Sogolon Kédjou, alikuwa na umuhimu maalum...
  18. Ni nani aliyemuua Komando Muhammad Tamimu🤔? (Sehemu ya 3️⃣)

    "Kuepusha kuwachosha wasomaji, Swali pekee linalobakia katika mkasa huu ni Je, ni hatua gani za kisheria zilichukuliwa baina ya wahusika?. Jibu la swali hili tutakua nalo katika sehemu ya tatu ya mkasa huu. Kama ni embe, basi hapa tumefika kwenye kokwa, ndo kwanza utamu wa simulizi hii unaenda...
  19. SIMULIZI FUPI: Sogesa, Mkasa wa RC Kleruu na Mnyalu Mwamwindi wa Iringa

    Ni Krisimasi ya mwaka 1971. Mkulima tajiri wa Iringa akiitwa Said Mwamwindi anamuua kwa risasi Mkuu wa Mkoa RC wa Iringa na Katibu wa Chama Dkt. Wilbert Kleruu. Kleruu alikuwamo miongoni mwa watawala wasomi wa wakati huo. Alipendwa na Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere, kwa vile...
  20. Navutiwa sana na simulizi za uhalisia wa maisha, msimuliaji akiwa mhusika

    Binafsi huwa ninapenda sana simulizi ambazo zina uhalisia wa maisha ya kila siku tunayoishi hususan kwetu sisi wapambanaji na watafutaji wa kila siku. Yaani simulizi ambazo msimuliaji ndiye mhusika na anasimulia kuhusu experience yake katika jambo au mambo fulani sanasana masuala ya utafutaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…