simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simulizi: Jinsi matatizo yalivonipeleka kwenye kisiwa kilichosahaulika

    Mwanzo “Huyu tumuue kwani bosi amemleta huku lengo lake afe tu”. “Hapana nafikiri kumuua sio jambo jema, kiubinadamu pia huyu ni mwanaume mwenzetu” “Kibarua kitaota nyasi shauri yako,sasa unashauri nini”. “Tumtupe kwenye maji tu akacheze na papa huko” Mabishano hayo niliweza kuyapata vyema...
  2. Simulizi ya ubaharia wa Lemutuz_Superbrand

    ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI LIVE U KNOW: ..Hii picha nilipiga loongtime ago in the 90s nikiwa Seamen au Baharia (Ass. Engineer) katika meli ya "MV. LUXEMBOURG" ya kampuni ya Celestie Belgique Maritime (CMB) Shirika la Meli la Taifa la Belgium lipo mjini Antwerpen ambako niliishi kwa Miaka 5 ya...
  3. THE MODERN WAR: Simulizi ya kijasusi mapenzi na upelelezi

    THE MODERN WAR (Vita ya kisasa) Sehemu ya.........01 Mtunzi: Saul David WhatsApp: 0756862047 UTANGULIZI Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na kanuni za maisha ya utu. Sikujua kwa kufanya hivi ningeamsha vita nyingine kubwa ambayo ipo juu...
  4. Simulizi fupi: Mtoto wa miaka 8 alifanya nikajuta kuishi ugenini

    Habari za asubuhi wakuu Nina story fupi ya mtoto wa miaka 8 alifanya nijute kukaa UGENINI lengo la story hii tujifunze na tukemee vitendo visivyofaa kwenye jamii ili kudhibiti matukio ya ubakaji na wazazi tujitahidi kwa malezi Bora. Asanteni Mwaka 2018 wakati nipo chuo hapa jijini baada...
  5. O

    Godbless Lema asimulia alivyopanga mkakati kutoroka (1)

    Wakati maandalizi ya kumpokea mbunge wa zamani wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema anayetarajia kuwasili nchini Machi 1 mwaka huu, akitokea nchini Canada alikokimbilia baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, mwanasiasa huyo ameeleza Canada haikuwa miongoni mwa nchi alizotaka kwenda...
  6. Simulizi - change (badiliko)

    CHANGE Story by Elton Tonny Urafiki, Familia, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo yasiyotazamiwa, Mambo yenye kuhofisha R-rated 18+ DISCLAIMER: Hadithi hii ni utunzi wa kubuni tu. Haina uhusiano na jambo lolote halisi lililowahi kutokea, na kila...
  7. Simulizi ya Kijasusi: Jiue Mwenyewe (Jimwangi)

    Simulizi ya kijasusi
  8. Simulizi ya kichawi: Makaburi ya wasio na hatia (The Graves of The Innocents)

    MAKABURI YA WASIO NA HATIA (GRAVES OF THE INNOCENTS)- 1 JINA langu naitwa Togolai Mahimba, ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba wa baba yetu, Sinai Mahimba ambaye kwa sasa ni marehemu. Baba yetu alifariki miaka mitatu iliyopita baada ya kuugua ghafla. Kifo chake kilitawaliwa na utata mkubwa...
  9. Simulizi ya Vita: Mwanzo baada ya Mwisho by M.Kitua

    HABARI WANA JF. SEHEMU YA 1 MWANZO BAADA YA MWISHO .... Watu walikuwa wakifa, wengine wakikimbia, wengine wakijikuta kuna miguu mikubwa kama ile ya vunjachungu(parying mantis) ikitenganisha miili yao na wengine wakihangaika kupambana na wanyama ‘beasts’ wakubwa kuliko wao walio wazidi...
  10. Haya maneno bado yapo vyuoni? Wazee wa Madesa, Simbi, Vizenga, Missile, Bombshell. Simulizi waliokamatwa au kushuhudia matukio wakati wa UE

    Hello lads and ladies. Legends! Tupitie flashbacks zetu tukiwa campus notes zina majina yake, vikaratasi vya kuibia majibu kwenye Tests na UE na majina yake. Wakali wa vizenga, dessa, simbi kwenye soksi , chooni, network collabo za chooni, signal kama zote. Wale ambao hawakuwahi kutumia desa...
  11. Simulizi ya Vita: SHADOWS OF WATER (Maji Maji)

    CHAPTER 1 South Tanganyika, Early 1899 An early morning, I think it was probably way too early than usual for me since the sun was barely out and shining through the thick tree that surrounded our village made up of probably fewer than fifteen households living in straw houses with...
  12. Simulizi: Sasha Mlinzi wa Nafsi - 1

    SASHA MLINZI WA NAFSI. Sehemu ya............1-2 Mtunzi: Saul David WhatsApp: 0756862047 UTANGULIZI... Majira ya mchana wa jua kali mwanaume mmoja anaonekana akitembea kwa taabu sana katikati ya jangwa moja kubwa. Upepo mkali ulikuwa ukivuma kiasi cha kusababisha vumbe jingi kutanda hewani hali...
  13. Simulizi: Nawapenda Mapacha Wangu

    SIMULIZI; I LOVE MY TWINS (NAWAPENDA MAPACHA WANGU) MWANZO. Dunia nzima ilisimama kushuhudia tukio la ugawaji wa tuzo kubwa za muziki zilizotolewa na kampuni kubwa ya utangazaji ya MTV yenye makao yake nchini marekani. Hakuna aliyeweza kusubiri wala aliyekubali kupitwa na tuzo hizo hasa raia...
  14. Mwanaume mzima kumkuta akiwa Serious na Katulia kabisa anasikiliza Simulizi za Veronica Frank wa EFM Radio ni Aibu mno

    Mwanaume uliyekamilika unatakiwa ama Kusikiliza BBC Dira ya Dunia au DW au Kutizama / Kusikiliza Habari, Kuangalia Mpira ( Fabo ), Kutongoza sana Mademu ( Migoma ), kujua zilipo Gesti na Loji Mpya, Kubishana Mambo ya Siasa, Mpira au Madili, kuwazia Kuzamia kwa Ramaphosa au kwa Biden au kwa...
  15. Simulizi: Uzinzi umenichosha nimeamua kuoa

    Disclaimer: hii ni hadithi ya kufikirika, ukikutana na typing errors skip hata mimi ni binadamu nakosea Tiririka....... SEHEMU YA KWANZA (01) NGRIIIIIIIII, NGRIIIIIIIIIIIIIII NGRIIIIIIIIIIIIIII. Simu yangu iliita ghafla nikiwa nimekaa jirani na mama ambapo taratibu niliangalia jina...
  16. Simulizi yenye ukweli wa kuumiza juu ya maisha na matukio halisi yanayotokea katika jamii yetu

    LANGO LA MOTONI CHAPTER 1 Jumatatu YA TAREHE 26/12/2022 Majira ya saa tisa na dakika arobaini na saba kulionekana dada mmoja ambaye hakuonekana nadhifu kwa mwonekano wa mavazi yake pamoja na nyewe zake zilizoonesha kutimka kama vile alikuwa akikimbizwa na kitu au yupo katika dimbwi la...
  17. Biashara ya simulizi kwenye mitandao

    Siku hizi imeibuka biashara ya simulizi mitandaoni ikiwemo Whatsapp na Facebook. Hawa watunzi wamejigawa katika makundi. Watunzi halisi, wanaocopy kazi za wenzao na kuziuza bukubuku. IPO mifano Mtunzi hapa JF ndg Singano bila shaka anajua mwenyewe anatungaje na kutuma vipande vipande wastani...
  18. Laana inavyomtesa mteule na rafiki wa Rais. Asante mama kwa simulizi, hii ewe mtumishi jifunze jambo

    Nikiwa nimeshika zangu Mswaki, huku huku Mama mzaa Chema akiwa amejiinamia anakosha vyombo, mara gafla chema, Akaanza stori zake na mama yake! Chema ;Ma hivi wajua yule mkurugenzi hajawai tuandikia hata barua za kututambua sisi kama watoa huduma wake kwenye wilaya yake?'' Ma:'' mmmh mpaka leo...
  19. SIMULIZI: Sumaya Fate of Love

    SUMAYA FATE OF LOVE SEHEMU YA PILI Lakini alijitahidi asioneshe hilo kwa Mama yake lakini damu ni nzito kuliko maji Zuleya aliitambua vema hali aliyonayo Sumaya nae alificha hilo mpaka atakapo pata nafasi ya kuzungumza nae kwa uzuri zaidi na hata hivyo tabia za Sumaya hazikuwa tofauti sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…