Singida BS wamesema kocha wao aliondolewa kikosini kwakuwa hakuwa na sifa za kukaa kwenye bench kutokana na kanuni na matakwa ya bodi ya ligi na TFF wala sio eti Kwa sababu alipanga kikosi kilichoipa upinzani Yanga
Singida BS wameongeza kuwa coach Aussems alipenda maisha ya Anasa ya kula bata...
Mimi sio mtu wa kupangiwa unapaswa kufanya hiki kwa wakati gani kwasababu uliniajiri ili nifundishe sasa kwanini unipangie cha kufanya?
Kwasasa nafahamu sio kocha anaendaa kikosi cha kwanza hilo nafahamu wazi kwa kocha mahiri aliyeifanya kazi yake kwa muda mrefu ni ngumu kukubaliana na hiyo...
Ukweli lazima usemwe mechi ya leo imetia aibu sana mpira wetu, wachezaji wa maana kabisa waliosajiliwa kwa mamilioni ya shilingi kwa ajili ya kucheza mechi kubwa wamewekwa benchi halafu wanakuja kuchezeshwa akina Rashid Juma.
Ukweli lazima usemwe kuwa Jana na juzi wachezaji walikuwa busy na...
Wakati najiuliza swali hilo hata mtangazaji wa Azam Sports Patrick Nyembera aliuliza wachambuzi wa Azam Sports swali hilo hilo.
Lakini si mimi wala hao wachambuzi walikuwa na majibu ya kueleweka.
Mbali na hilo licha ya kufungwa lakini Singida Black Stars ni kama walikuwa wanapoteza muda...
Timu yenu haifanani kabisa na mambo mnayofanya uwanjani, nyie mna wachezaji wenye quality ya kimataifa, nyie timu mkitaja kikosi tu watu hawaingizi timu uwanjani.
Nyie mlitakiwa muwe mnaongoza ligi hadi ss tena mkiwa mbele kwa pointi 10.
Mna wachezaji wazuri mno kuliko Yanga, Simba na hata...
Mchezo ulikuwa mzuri, ukitawaliwa na mbinu za coaches
Coach Ouma wa SBS alikuja na mbinu Bora, alianza na viungo wagumu kama Nashoni na kujipa muda wa kuimaliza mechi kipindi cha pili
Wasiojuwa mpira yaani mbumbumbu wanasema ati ameanzisha timu dhaifu
Goal keeper Mwasalanga alitoka Tabora...
Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu.
NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo...
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.
Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi?
Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa
Vikosi vinavyoanza...
Wakili Peter Madeleka amefungua kesi Mahakama Kuu kanda ya Dodoma akipinga wachezaji 3 wa Black Stars kupewa uraia wa Tanzania, wachezaji hao ni Emanuel Keyekeh (Ghana), Josephat Bada (Ivory Coast)& Mohamed Damaro Camara (Guinea),Kesi hiyo ya kikatiba imepewa namba 2729/2025.
Pia soma Singida...
Inadaiwa kuwa Management ya mchezaji Chasambi ipo katika mazungumzo na SBS ili kumsajili winga Chasambi
Chasambi hana amani Simba, amekuwa akiandamwa na mashabiki wa timu hiyo kuwa anawachoma
Chasambi anaonekana wazi kuwa kimwili yupo Simba ila moyoni Kuna timu ya ndoto zake anataka kucheza...
Kila mwenye akili timamu lazima ajiulize chanzo cha ukwasi wa timu ya Singida Black Star
1. Hii timu inamilikiwa na nani? Mbona boss yupo kwenye mabano, ingekuwa kama Azam ya tajiri Bakhresa, Ken Gold ya tajiri wa madini Kenneth, Fountain Gate nayo ina boss wake. Kuna timu za taasisi...
https://www.instagram.com/p/DFLD6mztR0c/?igsh=dGl4M2Fvd2E2a3dx
Soma: Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni
https://www.instagram.com/p/DFK-2IOuHUj/?igsh=MWV6dDJkYnFmaDViZA==
Washabiki wa Simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana Kibu Dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika
Leo hii Singida Black Stars wamefanya kilekile walichofanya Simba inakua nongwa tuacheni double standards
Soma:
Rasmi: Kibu Dennis ni...
TAARIFA KWA UMMA
Idara ya Uhamiaji inapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa zilizochapishwa na kujadiliwa kwenye mitandao ya kijamii na Vyombo vya Habari kuhusu kupatiwa uraia wa Tanzania wachezaji watatu wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Singida Black Stars.
Wachezaji wanaotajwa kwenye taarifa hizo ni...
Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni.
Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie...
Kila siku unasikia wamesajili mchezaji fulani, sasa hivi wana uwezo wa kumsajili mchezaji yeyote mkubwa hapa Afrika unayemjua wewe, tena kwa mawazo yangu wanasajili wachezaji wenye vipaji, ujuzi, uwezo na stadi za kucheza soka kuliko hata makapi ya wachezaji wa timu zetu kongwe.
Huwa najiuliza...
Kwanza kabisa jana sijaona burudani ya mpira zaidi ya ubabe na makandamizo kwa walima alizeti wa singida.
Hamnza anatoa kona refa anaweka goal kick, kibu anatoa mpira alafu wanarusha wao wenyewe tena, kibendera anaelekea kwake refa wa kati naye anaelekea kwake, umakini mdogo sana.
Azam tv nao...
Kwema?
Leo Dakika chache Mtajua kauli ya Ubaya Ubwela inakwenda kudhihirika huko Singida Pale Wananchi watakapo toka Uwanjani Wakisonya na kutukana na Kuongea peke yao Baada ya matokeo wasiyoyatalajia Ni hayo kwa sasa Kutoka Hapa Liti Singidani.
Baadae jamaani!
Mtanange mkali Leo.
Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC
Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida
Vs
Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam
Uwanja: CCM Liti Singida.
Muda : Saa 10Jioni.
Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu.
VIKOSI VYA LEO.
Updates...
00' Mpira umeanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.