MMESIKIA HUKO?
.
Kwa mujibu wa Africa Soccer Zone,Klabu ya Yanga inashika nafasi ya pili nyuma ya Al Ahly kuwa ndio Klabu zinazofanya vizuri kwa sasa barani Afrika.
Orodha ni kama ifuatavyo
1-Al Ahly
2-Yanga
3-Petro De Luanda
4-Orlando Pirates
5-Mamelodi Sundown
6-Rs Berkane
7-Al Hilal
8-As...
Najua wengi mnatawaliwa na ushabiki mandazi lakini hamuwezi kuona kile ambacho mastermind wa SBS anakiona.
Niliwahi kuanzisha huu uzi Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila mtaziona msimu ujao 2024/2025 kupitia IHEFU (Singida Black Stars) na kilichotokea ni hicho hicho...
Uwanja wa Liti ni mgumu sana na kwa aina ya wachezaji wa Singida, Yanga hakuwa na uhakika wa kutoboa mechi hiyo, Singida wametoa sare moja t na JKT na wote aliokutana nao amewaua, wana wachezaji wenye uwezo wa kupambana na klabu yoyote ile nchini, hivyo gemu ingechezwa Liti kule kwao mkubwa...
Naangalia hapa mechi ya mvuto na Raha wanayoangalia wanachuga na nakumbuka kuwa hizi Raha wanasingida watazikosa due to unwise decision made by their leaders.
Imagine wao wataishia kuziona team ndogo tu ambapo watakosa mapato mengi sana kama mkoa
Katika hali ya kushangaza, Singida Blackstars wamehamishia mechi yao dhidi ya Yanga kutoka dimba lao la nyumbani la CCM Liti na sasa mchezo huo utapigwa New Amaan Complex Zanzibar Oktoba 30 mwaka huu.
Singida Black Stars wametoa sababu kuwa uwanja wao unaweza kufungiwa kutokana na sehemu ya...
Salaaaam wakuu
Kwa jinsi ninavyoona singida Black stars wanavyowasha moto pale kileleni na kuwa namba Moja .......ninapata wasiwasi jinsi upinzani wa kugombania nafasi ya pili baina ya Simba na singida big stars utakavyokua mgumu
Kwasababu ni lazima tu Yanga atakua no 1 kwenye msimamo then...
Baada ya Singida Black Stars kuwa na mwanzo mzuri katika NBC PL, mpiga porojo kutokea Wasafi Media, Oscar Oscar ameipa nafasi timu hiyo kutwaa ubingwa wa NBC PL mbele ya Yanga, Simba na Azam.
Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars unapenda kuwajulisha wadau na mashabiki wetu kuwa tumeona taarifa zinazosambaa kuhusu maslahi ya mchezaji wetu Israel Patrick Mwenda tuliyemsajili msimu huu 2024/2025 kwa Ada ya TZS 200m.
Makubaliano ya mkataba yaliweka kiasi cha pesa kinachotakiwa...
Maulid Kitenge akija kwenye shughuli yako kama Mc hamna hamna ubaoni uwe na Milioni 15 mpaka 20.
Klabu ndogo ya mkoani kama Singida ambayo inategemea mapato ya mlangoni wanawezaje kumlipa pesa nyingi hivyo Maulid? Hiyo hela wanapata wapi?
Habari watu wa Soka
Singida Black Stars tunatarajia kufanya majaribio ya kutafuta wachezaji vijana wenye vipaji mkoani Singida watakaounda timu zetu za SBS U-20 na SBS U-17.
VIGEZO:
1. Ni lazima kijana awe mkazi wa Singida
2. Ni lazima kijana awe na umri kuanzia miaka 16 hadi 19
3. Ni...
Leo walima alizeti wamekutana na kipigo kikali sana cha magoli matstu kwa moja.
Licha ya kufanya usajiri mkubwa lakini mambo yamekuwa ndivyo sivyo.
Kocha uchebe falsafa yake mpira wa chini ule wa pasi moja moja, wachezaji bado hawajaelewana hawana utulivu,
Wanapiga pasi za hovyo utazani Mtibwa...
Mchezaji aliyeachwa na Young Africans, Joseph Guede leo amekuwa mchezaji kamili wa Singida black stars, ameungana na akina Kennedy Juma kuitumikia Singida Black stars
Mpira wa Tanzania unaendeshwa na wakubwa wachache sana na wao ndio wenye nguvu kwa wachezaji, wana uwezo wa kumzungusha mchezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.