SINGIDA Black Stars (zamani Ihefu), imeendelea kusuka kikosi cha msimu ujao ikielezwa imepora nyota wawili wa kigeni waliokuwa wakiwindwa na Simba, huku ikimalizana na makipa Metacha Mnata na Beno Kakolanya anayeweza akapelekwa kwa mkopo Namungo.
.
Taarifa zinasema Singida tayari imewasainisha...