singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. ryan riz

    Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

    Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
  2. Hussein Massanza

    Singida Big Stars tumejiandaa kuwakabili Prisons kesho, watajua hawajui

    Watu wa Soka, Tumejiandaa vya kutosha kuanza mchezo wetu wa kwanza wa Ligi Kuu kesho dhidi ya Tanzania Prisons. Mashabiki wetu tunawakumbusha kukata tiketi mapema kupitia N-CARD kisha mjitokeze kwa wingi uwanja wa LITI (zamani Namfua) kesho mapema sana kuisapoti timu yetu. Hakutakuwa na tiketi...
  3. Hussein Massanza

    Singida Big Stars tunaanza Ligi na Tanzania Prisons, patamu hapo

    Watu wa Soka, Salamu kutoka Singida Big Stars. Ratiba ya Ligi Kuu imeshatoka na mechi yetu ya kwanza tumepangiwa kucheza uwanja wa nyumbani na Wajelajela Tanzania Prisons siku ya Jumanne Agosti 16, 2022. Nafahamu kwamba Mashabiki wetu, watanzania na watu kutoka mataifa mbalimbali siku hizi...
  4. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Singida: Watu 6 wafariki kwa ajali ya gari

    Ajali mbaya iliyo husisha gari dogo aina ya Raum imetokea wilayani Mkalama katika mkoa wa Singida. Chanzo cha ajali ni mwendo kasi. Mzee Kinana nilikwambia kupitia uzi fulani hapa, kazi iendelee. ======== Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum...
  5. Hussein Massanza

    Sakata la Dario: Mashabiki wa Singida Big Stars, tulieni..

    Watu wa Soka, Nina salamu maalum kwa mashabiki, wapenzi na wadau wa Singida Big Stars. Naomba niwafahamishe tu kuwa taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu Winga wetu Dario Frederico sio za kweli. Dario ni mchezaji mwenye kandarasi ya miaka 3 na klabu ya Singida Big Stars. Tunafahamu, uwezo...
  6. Greatest Of All Time

    Yanga na Singida Big Stars kubadilishana wachezaji

    Hayo yote ni kwa mujibu wa Jemedari Said Kazumari. Kama itatokea kweli basi yatajirudia ya Feitoto alivyotolewa na Singida Utd kwenda Yanga.
  7. Hussein Massanza

    Mechi ya Singida Big Stars vs Zanaco FC mmeionaje?

    Watu wa Soka, Jana Agosti 4 katika Siku yetu maalum ya BIG DAY tulicheza mechi ya kirafiki na klabu ya Zanaco FC kutoka Zambia na tukaibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri (1-0) katika dimba letu la nyumbani la LITI (zamani Namfua). Tumelinda heshima ya nchi lakini pia tumeisitiri sherehe...
  8. Taifa Digital Forum

    Watumishi wa kima cha chini Mkoani Singida watoa ya moyoni nyongeza ya mishahara.

    Watumishi wa kima cha chini Mkoani Singida wamezungumzia nyongeza ya mishahara iliyotolewa na serikali ya awamu ya sita.
  9. N

    Aibu: Uwanja Singida ni mchafu

    Ma viwanja mengi yako hivyo,pitch ina afadhali,vyumba vimekarabatiwa sehemu ya kukimbilia ni pachafu vumbi kabisa Si waweke moramu zile chengachenga zilizisagwa au wamwagie mchanga
  10. Greatest Of All Time

    Hawa ndio Wadhamini wa Singida Big Stars

    Ni timu iliyopanda daraja lakini tayari ina wadhamini wa kutosha. Wapo Sportpesa, TBL, Maji ya Uhai, Simba Cement pamoja na GSM. Niwape heko Singida Big Stars, hakika mnaupiga mwingi sana
  11. Hussein Massanza

    CONFIRMED: Mechi ya Singida Big Stars vs Zanaco FC itarushwa LIVE kupitia Azam TV

    Watu wa Soka, Sisi ni wasikivu. Tumeamua tukio la BIG DAY lirushwe LIVE kupitia @azamtvtz ili wadau wote na mashabiki wetu watakaoshindwa kufika uwanjani, waweze kushuhudia burudani zote popote walipo! Hivyo, matukio yote ya BIG DAY ikiwemo mechi yetu ya kirafiki dhidi ya Zanaco FC itarushwa...
  12. Hussein Massanza

    Singida Big Stars tumeamua tuje na BIG DAY, tutacheza na Zanaco FC

    Watu wa Soka, Nawaletea taarifa kuhusu Singida 𝐁𝐈𝐆 𝐃𝐀𝐘 tarehe 4/8/2022 katika Uwanja wa Liti (zamani Namfua). Tumeamua tuwe na siku yetu maalum kama walivyofanya wenzetu Simba na Yanga, tukachagua jina iitwe BIG DAY, halafu kwa mara ya kwanza tunaifanyia Singida. Matukio yatakuwa mengi na...
  13. Hussein Massanza

    Singida Big Stars tumerejea nyumbani Singida

    Watu wa Soka, Tunapenda kuwataarifu wapenzi na mashabiki wetu kwamba Jumatatu ya Agosti 01, 2022 timu yetu iliwasili salama Makao Makuu mkoani Singida, ikitokea jijini Arusha ilikoweka kambi kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23. Ratiba ya mazoezi ya kuinoa timu...
  14. B

    Singida: DC Muro aendelea na utatuzi wa migogoro wilaya ya Ikungi

    UTATUZI WA MIGOGORO IKUNGI SASA NI KATA YA UNYAHAATI Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry Muro akiwa pamoja na wataalamu wa ardhi kutoka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ikungi leo tarehe 27/07/2022 wamesikiliza na kumaliza kero ya mgogoro wa viwanja vya wananchi 40 katika kijiji Muungano...
  15. Hussein Massanza

    Singida Big Stars tunatengeneza timu ya vijana (U20), njoo ufanye majaribio

    Watu wa Soka, Leo nimeleta habari njema kwa vijana wenye vipaji. Singida Big Stars tumeanza kutengeneza timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 20. Kama una vigezo njoo utuoneshe uwezo wako au mlete kijana wako, tukiridhika na kiwango tunasajili. Majaribio yatafanyika Jumamosi 30/07/2022...
  16. Hussein Massanza

    Yanayoendelea kwenye kambi ya Singida Big Stars jijini Arusha (Pre-season Camp)

    Watu wa Soka, Timu yetu Singida Big Stars imeweka kambi hapa Njiro jijini Arusha kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/23. Tulichagua kuweka kambi (Pre season camp) hapa Arusha kutokana na sababu kadhaa ikiwemo hali ya hewa nzuri na mazingira yenye...
  17. Hussein Massanza

    Mnafahamu kwamba Deus Kaseke amesaini mkataba na Singida Big Stars?

    Watu wa Soka, Nimechelewa kuwafahamisha lakini naamini baadhi ya wapenzi na mashabiki wetu wanafahamu kuwa tumemsajili Kiungo Mshambuliaji kutoka klabu ya Yanga SC, Deus Kaseke "Mwaisa", kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Big Stars. Kwa wasiofahamu, taarifa iko hivyo na tayari Mwaisa...
  18. Hussein Massanza

    Mnamuonaje Yassin Mustapha? Singida Big Stars tumemsajili rasmi

    Watu wa Soka, Tumefanikiwa kuinasa saini ya Beki Imara kutoka Klabu ya Yanga, Yassin Mustapha Salum. Atakuwa nasi kwa mkataba wa miaka miwili kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC. Beki wa maana sana huyu! !
  19. B

    Waziri Mkuu asifu utendaji wenye mafanikio makubwa wilayani Iramba - Singida

    📸WAZIRI MKUU ASIFU UTENDAJI WENYE MAFANIKIO MAKUBWA WILAYANI IRAMBA- SINGIDA. Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema anaridhishwa na kazi kubwa yenye mafanikio kwenye miradi na shughuli za maendeleo Wilayani Iramba Mkoani Singida. Waziri Mkuu ameyasema hayo Jana Jumamosi Julai...
  20. Hussein Massanza

    Singida Big Stars tumemsajili kipa mzawa Benedict Haule kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu

    Watu wa Soka, Muda mfupi uliopita tumemtambulisha Golikipa mahiri wa Klabu ya Azam (akitokea Tanzania Prisons FC kwa mkopo), Benedict Haule, kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu. Haule atasaidiana na Metacha kuhakikisha Singida Big Stars ipo salama golini. Tunaendelea kujipanga kuelekea...
Back
Top Bottom