singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Uchaguzi 2020 Kilio hiki kikufikie Dkt. Bashiru na Rais Magufuli. Rushwa yatoa mgombea Singida Magharibi

    Wasalaam viongozi wangu taifa! Kwanza kabisa ninaomba kuwasilisha vilio vingi kwa niaba ya wanachama wa CCM jimbo la Singida magharibi kupitia jukwaa hili. Ninamfahamu kabisa viongozi wangu mwenyekiti na katibu wa chama changu taifa uadilifu wenu hauna mashaka na hauwezi kutiliwa shaka ya...
  2. Uchaguzi 2020 Singida Magharibi na Halmashauri ya Wilaya Ikungi msiachie lulu hii

    Na Fundi madirisha, Nawasalimu sana ndugu zangu wananchi wa jimbo la Singida Magharibi. Mwafanga naa! Amuchii! Kwa ufupi ndugu zangu wa jimbo la Singida Magharibi hasa wapiga kura za maoni nataka niwadokezee kidogo, mna mtu mmoja mpambanaji na ni mtu wa kazi sana anaitwa HAMISI LISSU MAHANJU...
  3. Lema: Vijana wa CHEDEMA wanyimwa dhamana Singida kisa kuimba nyimbo ya Taifa na bendera ya chama

    Nilikwenda Singida kuwasalimu KM BAVICHA Nusrat/ Mwenezi Twaha Mwaipaya, sikuweza kuwaona wanashitakiwa kwa kosa la kuimba wimbo wa Taifa huku wakiwa wameshika bendera ya Chama. Wote wamenyimwa dhamana, kwani hati ya kiapo cha DPP inasema wao kukaa kwao nje ni hatari kwa usalama. Mahakama...
  4. Nusrat na Twaha: Viongozi wa Bavicha waliokamatwa Singida Wanyimwa dhamana

    Leo Julai 10,2020 Mahakama ya Wilaya ya Singida imewanyika dhamana Katibu Mkuu wa Bavicha Mhe. Nusrat Hanje, Mratibu wa Uhamasishaji Mhe. Twaha Mwaipaya na wenzao watano katika kesi ya jinai namba 115/2020.
  5. Uchaguzi 2020 Lissu atikisa Singida, foleni ya kumdhamini utadhani kuna uhaba wa sukari enzi za RTC

    Hapa ni Ikungi , Singida Mashariki .
  6. H

    Azam amfunga Singida United goal 7-0 ashika nafasi ya pili

    Azam imeishindilia goal 7 timu ya Singida United kwa nunge huku chirwa akitupia goal 4 mawili akifunga nado na 1 Ni lakujifunga.Kwa maana hiyo Azam amerudi kwenye nafasi yake ya pili na kumtoa Yanga.
  7. Uchaguzi 2020 Singida Magharibi wananchi wamlilia Hamisi Lissu Mahanju wa CCM kuhusu ubunge, wadai Kingu ni mwongo

    Na Fundi Madirisha, Muhintiri-Ikungi-Sigida. Katika harakati zangu za kupitapita katika kila kona ya jimbo la Singida Magharibi ili kujipatia taarifa muhimu juu ya mwenendo wa siasa za jimbo ambalo limekua chini ya CCM tangu Uhuru, inaonekana wananchi wa eneo hili wamechoka sana...
  8. Mr. Masementi: Mbunge aliyestaafu Singida Magharibi

    MR MASEMENTI, hili ni jina alilobatizwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi 2015- 2020 ndugu Bariki Kingu. Hili ni jina maarufu kutokana na tabia ya huyo ndugu kudhani kila wakati akiulizwa kero za wananchi anafikiria wanahitaji Mifuko ya sementi. Cha kuna tukio alilowahi kupita...
  9. Mkuu wa Intelijensia wa CHADEMA kanda ya Serengeti pamoja na M/kiti wa Bawacha Jimbo la Singida Mashariki Bi Anna Dulle wajiunga na TLP

    Watanzania wenzetu wasalaam, Leo tumepokea wanachama wapya wawili toka CHADEMA 1. Oscar Kaijage Kaindoa 2. Bi Anna Dulle
  10. Uchaguzi 2020 Jimbo la Singida Magaribi CCM tunaweza kulipoteza kwenda CHADEMA 2020

    Naomba nilizungumze hili kwa moyo wa dhati kabisa na kwa mapenzi makubwa kabisa ya chama changu. Bado tunaamini kwamba chama chetu hakijapata mbadala wake na bado hakuna dalili hizo kwa maneno ya mzee wangu makamu mkuu wa chuo cha UDSM Prof Mukandara. CCM chama changu pendwa, kuna malalamiko...
  11. M

    Lodge gani nzuri affordable Singida Mjini!

    Wakazi wa Singida Ni Lodge gani hapo mjini Ni nzuri na affordable! Naomba kujua ..Bei,naLocation
  12. Kwanini lakini huyu mpenzi wangu wazamani?

    Habari wakuu na heshima kwenu mabaharia wote waongoza njia na wajasiri wapambanaji. Niliwahi kuishi na dada mmoja wa kinyiramba ambaye alikuaga mpenzi wangu wakati nipo Advance Level yeye yupo O-Level. Tulipotezana kwa miaka 11 nikaskia ameolewa Arusha, basi siku moja nilikutana na rafiki yake...
  13. Hivi hii njia ya Mbeya Singida inapita wapi

    Nataka kujua hii njia ya kushoto yenye blue kwenye Ramani kutoka Mby kwenda Sngd inapita mikoa gani pia nataka kujua route ipi ni convenient kati ya hii na ya kulia kupitia Iringa - Dodoma- Manyoni- Singida kutokea Mbeya Singida - Mbeya route Mbeya - Iringa - Dodoma - Manyoni - Singida...
  14. Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

    Amewaponngeza Watu wa Singida na kufurahi mnama mkoa huo unavyopendeza. Amesema amefurahi kuona Watanzania wakiwa wandelea kuomba kuhusu #COVID19 Rais #Magufuli: Janga la #COVID19 limepungua sana pamoja na kuwa bado hailijaisha. Ndugu zangu tuendelee kuchukua hatua. Katika mkoa wa Singida...
  15. K

    Singida United waipigia Chafya Mbeya City !!

    Singida United waliokuwa wanatajwa kwa jina la ' Wa Mochwari ' hasa baada ya kuangushiwa kipigo cha mabao 8 - 0 na S.S.C leo wamepiga chafya baada ya kuivurumisha Mbeya City 2 - 1 . Hii ni warning kwa wale wanaofikiri watapata kitonga wakikutana na Singida.
  16. Uwanja wa Uhuru | Vodacom Premier League (VPL), Simba SC dhidi ya Singida United

    Patashika ya Ligi Kuu kuwania Taji la Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kupigwa leo Jumatano ya March 11, 2020 ambapo Mabingwa wa Nchi, Simba SC, ambao ni vinara wa VPL, wakiwa na alama 68 kwa michezo 27 wanapambana na Singida United ambao wanashika nafasi ya 20 kwa alama 12 wakiwa...
  17. F

    Makamu Mwenyekiti CCM bara, Philip Mangula ziarani Iramba- Singida

    Habari wadau wa JF. Wilayani Iramba mkoa wa Singida mambo ni Moto. Shamrashamra zimetawala ktk mji wa Kiomboi ambao ni makao Makuu ya Wilaya kufuatia ziara ya makamu mwenyekiti wa CCM bara, Ndugu Philip Mangula. Mzee huyu asiyekuwa na makuu hivi sasa anazungumza na wanachama ktk ukumbi wa...
  18. Dkt. Nchimbi acharuka, aja na kaulimbiu ‘Mshahara Wangu Uko Wapi?'

    Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi (pichani) amesema kuwa kila mtumishi wa serikali mkoani mwake, kuanzia mwaka huu atatakiwa kuonesha mafanikio, yanayotokana na mshahara anaolipwa na serikali, kupitia kauli mbiu iliyoandaliwa na mkoa ya “Mshahara Wangu Upo Wapi” ifikapo mwisho wa mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…