singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    Singida: Afungwa miaka 30 jela kubaka mtoto

    Mkazi wa Kijiji cha Bukatika Kata ya Matongo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Shabani Salimu (25), amehukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka binti mwenye umri wa miaka 13. Katika...
  2. Influenza

    Uchaguzi 2020 NEC imekubali rufaa nyingine 13 na kurejesha wagombea, rufaa nyingine 14 za walioteuliwa zimekataliwa

    Pia, soma Uchaguzi 2020 - Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020
  3. MAHANJU

    Uchaguzi 2020 Hapatoshi Singida Kaskazini, Nyalandu vs Ramadhani Ighondu

    Hili ni moja ya jimbo gumu sana upande wa CCM baada ya kinachosemekana kuwa ni makosa ya kamati kuu ya CCM kuwawekea mtu ambaye hafahamiki kabisa kushindanisha na Lazaro Nyalandu ambaye amekua kipenzi cha jamii ya watu wa eneo hilo. Wenyeji wa ukanda huo wanasema Lazaro hatapata tu kura za...
  4. CONTROLA

    Wadau wenye uzoefu na biashara ya mafuta ya alizeti kutoka Singida nijuzeni kuhusu hii biashara

    "Hbr zenu ndugu zangu, naombeni wenye uzoefu au utafit juu ya mafuta alizeti ya rejareja hii biashara inakaaje,, Asante u" (UJUMBE TOKA KWA DADA CHOLETA) Wapendwa wenye taaarifa kuhusu hii biashara naomba mumsaidie dada yangu huyu Dada Choleta maana najua hapo alipo anatamani sana kupata...
  5. Determinantor

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Nataka Mwigulu ashinde hapa na Kitila Mkumbo ashinde Ubungo. Wote nawapenda

    Mgombea wetu wa Chama chetu aliwahi kusema kuwa hana Mgombea na wala hajawahi kutuma mtu agombee, video hii hapa Leo kabadilika anasema kwakuwa Mwigulu na Kitila wote ni Wadogo zake basi ameona mmoja abaki Huko na mwingine aende Ubungo na anataka wote washinde. Angalia attachment. Tusiwe...
  6. K

    Kitila Mkumbo Ubungo wanakudhalilisha, Waliokutoa Singida walikudanganya

    Nimeona mkutano wa Kitila Mkumbo Ubungo Maji, kwa idadi ya watu alionao na kwa nanmna viongozi wa ccm wa mashina wanavyotumia nguvu kumnadi na kuamasisha wanachama wahudhurie mikutano yake sidhani Kama atapata hata kura elfu mbili, ukiona unakosa mvuto kwa wananchi Wanaokuzunguka hata Salam...
  7. Replica

    Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

    Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii...
  8. Kuku kwiyoyo

    Ni gharama kiasi gani inahitajika kwa mtu anayetaka kulima mpunga?

    Habari yenu wanajamii.nimekuja humu kuomba ushauri kwa faida yangu pamoja na kwa faida ya wengine. Kama kichwa cha habari kinavyosema...Nahitaji kufahamu kwa mtu anayetaka kulima kilimo cha mpunga je atatumia gharama za shilingi ngapi kwa kuzingatia vitu vifuatavyo 1)Gharama kukodi shamba la...
  9. Prof Koboko

    Uchaguzi 2020 Jimbo la kwanza kwenda CHADEMA 2020 ni Singida Kaskazini

    Hapa nasemea hivi kwa sababu ya wagombea wawili na historia za maisha ya jamii husika na wagombea wenyewe. Mchuano ni kati ya LAZARO NYALANDU mbunge mkongwe aliyeongoza jimbo hilo muda mrefu dhidi ya RAMADHANI IGHONDO anayetajwa kuwa mtumishi mkongwe kutoka nyumba kuu. Hili ni jimbo rahisi na...
  10. Fundi Madirisha

    Singida: Mkoa mdogo wenye umaarufu unasababishwa na jamii ya Watu wake

    Leo nataka kuufahamu vizuri huu mkoa uliopo katikati ya nchi, huu mkoa unatajwa sana kutokana na uwepo wa watu wake wanaohusishwa na matukio mbali mbali ya kitaifa. Karibu kila tukio kubwa la kitaifa huwezi kukosa watu wawili au mmoja kuhusika. Hili kabila la Wanyaturu sijajua ni jamii ya watu...
  11. B

    Uchaguzi 2020 Nyalandu mgombea Singida Kaskazini, je amewahi kukwepa miale ya moto?

    Kwa upande wangu siddhani kama kuna mtu ana fahamu vyema mengi ambayo Nyalandu aliyowahi kupitia akiwa mbunge chini ya CCM moja ya tukio baya ni lile la yeye kukoswa koswa ndani huko nyumbani Singida na kukutwa mama yake ndani. Hili la sasa kwa kugombea jimbo na mtu ambaye anamjua vema tabia...
  12. Civilian Coin

    Basi la SATCO ni waaminifu sana walimuokoa Don Nalimison Singida

    BASI LA SATCO NI WAAMINIFU SANA. Jana kipindi natoka Mwanza kuja Dom kuelekea Dar, tulipofika Singinda stand nilishuka Mara moja lakini niliangusha VITAMBULISHO vyangu na Vijisenti. Baada ya dakika 5 hivi nikaona simu inaingia kupokea naambiwa nimeangusha VITAMBULISHO na Pesa, kusogea kwenye...
  13. R

    Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu ashinda kura za maoni CHADEMA kuwania Ubunge Singida Kaskazini

    .
  14. Mwanahabari Huru

    Tundu Lissu afanya misa ya shukrani Ikungi, Singida. Aahidi kutompitisha mtu kwenye maumivu aliyopitia

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeo (Chadema), Tundu Antiphas Lissu, leo Jumatatu, Agosti 10, 2020 amefanya Misa ya Shukrani kwenye kanisa la Mtakatifu Rita wa Kashia lililopo Ikungi, jimboni kwake Singida Mashariki. Kwenye Misa hiyo iliyoongozwa na Paroko Laurent Bahale...
  15. Q

    Pamoja na vitisho vyote Watanzania walikuwa wakiwaangalia tu, hongera Waunguja na wana Singida

    Acheni mtanzania aitwe mtanzania, ukimtisha anakuangalia utafikiri mjinga kumbe anasubiri siku akujibu. Na haya ndiyo majibu ya ukimya wao.
  16. M

    Yuko wapi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Manyoni Magharibi Mkoani Singida 2005-2015, John Paul Lwanji?

    Habari Wana JF naombeni msaada wa yeyote anayefahamu huyo mzee Aliyekuwa Mbunge wa Manyoni Magharibi Mkoa Wa Singida. Sijamsikia muda mrefu kwenye ulingo wa kisiasa na Je Bado Mbunge? mwaka huu aligombea Tena Kura za Maoni? Nakumbuka tu hoja zake Bungeni na na Kusambaratisha Upinzani Jimboni...
  17. N

    Tujengewe Chuo Kikuu mjini Singida kwa maendeleo ya mji

    Mji wa Singida uko katika ya Inchi lakini kitu cha ajabu sana ni kwamba hakuna hata chuo kikuu kimoja. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Pombe John Makufuli anapotangaza kuwa anatoa mikopo kwa zaidi ya Wanafunzi 100,000, kwa mwaka ni pesa nyingi sana inalipwa. Katika pesa hii...
  18. M

    Tundu Lissu apata mapokezi ya Kifalme Kijijini kwao Singida

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ameingia jimboni kwake Singida Mashariki na kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa katika Jimbo Hilo. Akiwa na msafara mkubwa wa magari, pikipiki, bajaji, baiskeli na Punda kiongozi huyo kipenzi Cha Watanzania ameingia rasmi kwenye Jimbo...
  19. Erythrocyte

    Viongozi wa BAVICHA Singida kufikishwa Mahakamani leo

    Hawa vijana wanateseka kwa sababu za kishamba sana zilizoambatana na njama ya Jeshi la polisi kwa lengo la kuokoa ccm Singida , leo kuna rufaa ya kutaka waachiwe kwa dhamana Mashitaka yao ni vituko vitupu ! kuna haja ya CHADEMA kuweka uchunguzi maalum kwa jeshi la polisi Singida ili kufahamu...
  20. MAHANJU

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi: Ikiwa Tundu Lissu atagombea Urais 2020, Majimbo haya Singida yajiandea kuwa CHADEMA

    Asalaam wajumbe wa jukwaa hili! Nataka niwape taarifa kwa wanaccm wote ambao ni wagumu kuelewa, hili nalisema kabisa kutokana na hali ilivyo ambayo inaambatana na matukio ya kura za maoni CCM ambayo kwa kiasi kikubwa yalitawaliwa na rushwa. 99% ya majimbo ambayo yalifanya uchaguzi kura za...
Back
Top Bottom