Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.
Ujumbe huu ukufikie wewe Rais wangu mpendwa pamoja na DG mchapakazi wa PCCB CP Salum Hamdun. Nibkuhusu DC Wilaya ya Ikungi Ndg Edward Mpogolo kugawa madaftari yenye thamani ya million 10.
Inawezekanaje wakati huu wa Likizo DC anagawa madaftari tunayoambiwa yana thamani ya milion 10 kwa shule...
Wadau habari za weekend!
Naomba wenyeji ama yeyote mwenye ufahamu na mkoa wa Singida hususani wilaya Singida Dc anifahamishe yafuatayo.
1. Maisha ya pale kwa ujumla eg nyumba za kupanga kiasi gani, chakula, upatikanaji wa maji, hospitali, kabila gani wako pale ambao ni popular.
2...
Nikiwa msafiri leo nikitoka Kagera tumekuta foleni kubwa kabla ya kuingia Singida tunaambiwa ni msafara wa waziri mkuu. Tuliowakuta hapa wanadai wapo tokea saa 7 mchana na sisi tumefika hapa saa 11 jioni na bado hakuna dalili ya kuondoka. Viongozi washughulikie kero hii si sawa kabisa
Wakati maeneo mengi nchini wakiendelea kufaidi matunda ya kinachoitwa Elimu Bure/Elimu bila Ada, huko mkoani Singida Wilayani Ikungi kata ya Choda, Shule ya msingi Choda wanafunzi wanataabika kwa kukaa chini madarasani. Ni watoto wa wakulima na wafugaji ambao ni sehemu ya walipa kodi katika...
SERIKALI mkoani Singida imekamata malori matano yenye magunia ya mazao mchanganyiko zaidi ya tani 40 yaliyokuwa yakipitia mkoani hapa bila ya kuwa na nyaraka zozote za kulipia ushuru.
Kufuatia kukamatwa kwa shehena hiyo Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskas Muragili aliagiza...
Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako.
Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
arusha
dar
dodoma
flash
kinyume
kinyume na maumbile
kuoa
kuwa makini
maumbile
mke
mke wa mtu
mpenzi
mtandao
mtu
nyuma
redio
singida
tanga
usaliti
wadada
wanawake
zanzibar
Mbunge wa Viti Maalum Singida, Aisha Rose amesema Serikali imechimba visima katika Jimbo la Ikungi Mashariki na Ikungi Magharibi lakini havina mtandao wa maji.
Kabla ya kupata maelezo ya Naibu Waziri wa Maji, Spika Job Ndugai alimshukuru Mbunge huyo kwa maswali kuhusu Ikungi Mashariki akisema...
Kama kweli kigezo ni mkoa kuwa katikati ya nchi, basi singida ndio katikati na imeunganisha mikoa mingine mingi sana!
Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi hii na si vinginevyo
Tazama ramani ujionee tunavyoina singida kupitia kona zote za nchi
Simiyu, Iringa, Dodoma, Shinyanga, Arusha, Manyara, Tabora, Mbeya n.k.
Point yangu ni kwamba makao makuu yalipaswa yawe Singida.
Ukibisha bisha kwa facts.
Wale wa picha hio hapo.
Dodoma yenyewe imepakana na mikoa minne tu.
Msiba mkubwa wa kumpoteza Sheikh Salum Mahami akiongoza Mkoa wa Singida aliyetutoka leo Alhamisi Aprili 15, 2021
Tunatoa pole kwa wafiwa wote
Bwana ametoa & Bwana ametwaa & Jina lake lihimidiwe
Taarifa kwa mujibu wa Mufti Sheikh Aboubakar Zuberi
Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha...
Naandika kwa masikitiko sana, Mimi ni mwenyeji wa Singida ila kishughuli naishi Dar es salaam najishughulisha na shughuli za ulinzi binafsi (bodyguard) hivyo huwa tunazunguka na wateja wangu sehemu mbalimbali (wanamuziki, wafanyabiashara, wanamichezo, wanasiasa nk).
Moja ya sehemu...
Wakuu,
Mjadala unawekwa mezani kuhusu fursa za kiuchumi kutokana na rasilimali asili zilizoko Singida
1. Safu za mlima Sekenke hadi Makutupora ina mkanda wa madini ya Dhahabu. Wajerumani walivuna sana madini hayo na jinsi ya usafirishaji wake ilikuwa wanatumia mitaro ya zege.
2. Zao la...
Habari za majukumu wanajamvi,
Ninahitaji Ngombe wa maziwa Singida mjini awe ndama, mtamba au mwenye mimba.
Au kwa anaejua wapi ntaweza kupata maeneo ya karibu anipe maelekezo,
Natanguliza shukrani.
Katika Kijiji cha Makilawa, Kata ya Makilawa Jimbo la Singida Magharibi, Wananchi Wanakamatwa na Wanaliplpishwa Shs. Laki Moja (100,000/-) kila Mmoja kuchangia Ujenzi wa Sekondari.
Muda huu Wananchi wengi wamekamatwa Wakiwemo akinamama na Wamefungiwa kwenye Ofisi za Kijiji hadi Walipe kiasi...
Waliomshitaki wameshindwa kuthibitisha mashtaka yao jambo lililopelekea Mahakama kuamua kumwachia huru .
Ikumbukwe kwamba Mh Lema aliweka hadharani orodha ya watu waliouawa kinyama mkoani Singida kutokana na kuiunga mkono Chadema , hicho ndio kikawa chanzo cha kukamatwa na kushitakiwa ...
Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini Mhe Ramadhan Ighondo aendeleza mkakati wa kuinua elimu jimboni mwake. Amewaasa vijana kusoma kwa bidii ili kua chachu ya mabadiliko kwenye jamii.
Kwa habari video picha ungana nami Mahanju.........
Karasha ya kokoto ya Wachina hapa Singida hatimaye wamefunga kazi zao Ijumaa iliyopita wakidai kushindwa kutokana na kodi kubwa pamoja na tozo mbali mbali.
Raia hao wa Kichina, waliajiri Watanzania 47 ambao wanarudi mtaani. Tukumbuke karasha ilikuwa inatoa ajira nyingine kwa waendesha malori...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.