singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbunge Aysharose Mattembe Ashiriki Baraza la UWT Wilaya ya Singida

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe alishiriki na kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Kikanuni la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika Wilaya ya Singida DC. Akizungumza katika Baraza hilo, Mhe. Aysharose Mattembe alisisitiza mambo yafuatayo ikiwemo...
  2. Singida Black Stars tunatafuta vijana wa kuwasajili U20 na U17

    Habari watu wa Soka Singida Black Stars tunatarajia kufanya majaribio ya kutafuta wachezaji vijana wenye vipaji mkoani Singida watakaounda timu zetu za SBS U-20 na SBS U-17. VIGEZO: 1. Ni lazima kijana awe mkazi wa Singida 2. Ni lazima kijana awe na umri kuanzia miaka 16 hadi 19 3. Ni...
  3. Singida Black star, wamejipanga, moto utawaka nafasi ya pili

    Hawa wapo kimya ila wamejipanga vyema. Naona wazi akichukua nafasi ya pili. Azam wameleta magalasa ya huko South America nadhani nafasi ya pili ataisikia redioni. Mbumbumbu a.k.a zoazoa fc au DEBORA fc naona wakishika nafasi ya 6 hata shirikisho hawapendi tena. Guede , Lyanga, Manura...
  4. C

    msemaji wa singida black stars: tunashiriki cecafa kama mazoezi tu na tumepata uwanja wa avic town japo tunasubiri pia kuutumia wa bunju

    kumbe vilabu huwa vinaenda kushiriki mashindano ya kimataifa kama tu mazoezi na siyo kushindana kuwa bingwa? kazi ipo hakyanani...!!
  5. Kuna mchoro Singida Black Stars tunauchora...

    Ndani ya wiki hii tumetambulisha watu watatu muhimu sana ndani ya timu yetu. Tulianza na Kocha Mkuu Patrick Aussems maarufu kama Uchebe, tukafuata Ramadhani Nsanzurwimo msaidizi wake ambaye ana uzoefu sana na soka la Afrika kisha leo mapema tumemtambulisha kocha wa viungo kutoka Club Africain...
  6. Tetesi: Lissu kugombea ubunge Singida 2025

    Taharuki na matumbo joto kwa wanasiasa wabunge wa majimbo ya SINGIDA baada ya tetesi hizi kusambaa kama bush fire 🔥... Ameamua kubadili gia angani mapema, baada ya kutathimini kwa kina, kujiridhisha na kuthibitisha kwamba, mazingira ya chama chake si rafiki na hayampi matumaini, hamasa, wala...
  7. Serikali yasema Tsh. Bilioni 93 zimetolewa Singida kwa ajili ya uwekaji wa Taa, Barabara na Madaraja

    Serikali imetoa kiasi cha takribani Bilioni 93 Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani kwa ajili ya miradi ya uwekaji taa za barabarani, Ujenzi na matengenezo ya Barabara, Pamoja na ujenzi wa madaraja. Kiasi...
  8. RASMI: Massanza ni Msemaji wa Singida Black Stars

    Wadau wa Soka Napenda kuwataarifu kuwa nimekabidhiwa jukumu zito la kuwa Msemaji wa Klabu ya Singida Black Stars yenye maono makubwa na kuongoza Idara nyeti ya Habari na Mawasiliano. Nami nipo tayari kuisemea na kuitetea kwa weledi na maarifa yangu yote.. Eeh Mwenyeezi Mungu nisaidie 🙏🏾
  9. Tetesi: CCM yapanga kufanya mkutano eneo ambalo CHADEMA walipanga kufanya mkutano huko Singida Magharibi

    Serikali inajipiga kifua kwamba katika Uongozi wa MAMA SAMIA RAIS WA JMT ,Demokrasia imestawi. Kiukweli usawa wa uendeshaji wa shughuli za kisiasa unabinywa chini kwa chini karibia kila Kona ya Nchi yetu. Kesho Jumanne Tarehe 11/6/2024 kutakuwa na Mkutano wa MHESHIMIWA TUNDU LISSU (MAKAMU/KITI...
  10. KWA SINGIDA HII IJAYO SITOOSHANGAA SIMBA KUWA YA NNE

    ANGALIZO TU TUNUKUU TAR YA LEO .KWA USHINDAN WA TIMU ZIJAZO LIGI YA NBC SIMBA NIWAPE TAHADHARI MSISHANGAE MKAWA WA NNE LIGI INAPOKWISHA NA MSISHANGAE N MABADILKO NCHI TUUU ANDIKA TAR YA LEO NA SIKU YALEOO
  11. Pre GE2025 Singida: DED azuia Mkutano wa Hadhara wa Tundu Lissu, Mwenyewe apinga asema lazima Ufanyike au la Patachimbika

    Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Huko Singida Mjini kumepangwa kufanyika Mkutano wa Hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu 8/6/2024, kwenye viwanja vya Stendi ya Zamani. Taratibu zote zimekamilishwa na kwamba Polisi wameahidi kutoa ulinzi , lakini cha ajabu Mkurugenzi wa...
  12. Uchebe kasaini kufundisha Singida black stars

    Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars. Singida safari hii wanawekeza sana.
  13. Bei za viwanja Singida Manispaa

    Habari zenu wadau wa ujenzi. Kama title inavyojielezea. Nahitaji kujenga hapa Singida mjini na mimi sio mwenyeji sana, naomba kuuliza kwa wakazi wa Singida bei za viwanja hapa Manispaa kwa wastani ni sh ngapi? Na pia ni maeneo Gani mazuri zaidi kwa kuweka makazi. Nitashukuru sana nikipata...
  14. L

    Pre GE2025 Katibu Mkuu CCM, Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi amehitimisha ziara ya siku mbili mkoani Singida kwa kusambaratisha hoja zote za Lissu za kibaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena Amehitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani hapo kwa kishindo kikubwa sana kilichotikisa Mikoa ya kanda ya...
  15. Sikufukuzwa kazi Singida Fountain Gate, nilivunja mkataba kwa makubaliano

    Watu wa Soka, Umofia kwenu. Nimekuwa nikipokea SMS nyingi na maswali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nini kimetokea kati yangu na Klabu ya Singida Fountain Gate ambayo nilikuwa naitumikia kama Msemaji na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano. Kuweka rekodi sawa tu, sijafukuzwa kazi wala...
  16. A

    DOKEZO Uozo Halmashauri ya Wilaya Itigi: Mbunge amelala, Mwenyekiti wa Halmashauri anafanya ubadhirifu

    JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI: ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA. Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri Husein Simba anabaki kuoa wanawake kila siku na kula hela za miradi tu. Hebu ona hii aibu Mama SAMIA...
  17. Serikali Kufufua Usafiri wa Reli ya Kati Kiwango cha META GAUGE Kutoka Dodoma Mpaka Singida

    SERIKALI KUFUFUA USAFIRI WA RELI YA KATI KIWANGO CHA META GAUGE KUTOKA DODOMA MPAKA SINGIDA "Je, Serikali ina mpango gani wa kufufua usafiri wa Reli kutoka Dodoma kwenda Singida? - Mhe. Martha Nehemia Gwau, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida "Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC)...
  18. Ighondo ni Singida Kaskazini na Singida Kaskazini ni furaha.

    Anaandika Mo Mlimwengu. Penye nia pana njia na subira huvuta heri. Hii subira ndio imepelekea wakapata mbunge ambaye hata akiwa Dodoma moyo wake uko singida ila mwili wake uko Dodoma. Mh Ramadhan Ighondo ni mtu ambaye vitendo vyake vinazidi maneno. What a Mp? Jiimbo la Singida Kaskazini...
  19. Huu hapa ni Mkutano wa Tundu Lissu Mjini Singida

    Tumeona ni vema kuweka matukio machache ya Mkutano huu uliofanyika Jana Mjini Singida , ambao ulihutubiwa na Tundu Lissu baada ya Maandamano Makubwa ya kupinga Ugumu wa Maisha na sheria mbovu za Uchaguzi . Tunaomba radhi kwa kuchelewesha Uhondo huu , hii ni kwa sababu ya Uwingi wa Habari za...
  20. P

    Aliyemtuhumu Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu kumshambulia adaiwa kufariki

    "Watanzania wenzangu mimi nilipigwa tarehe 8/3/2020, nilipigwa na Elibariki Kingu alinipiga nikaenda Mandewa hospitali ya Mkoa, nikaenda Benjamini Mkapa wakanipeleka Muhimbili, nikatibiwa na kufanyiwa operation mbili kichwani, nikaambiwa nirudi mwezi wa 8 lakini sikuweza kurudi kwasababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…