Tuanze na faida
-Uhuru wa kujiamulia mambo yako mwenyewe pasipo ulazima wa kushauriana au kumshirikisha yeyote.
- Hauwajibiki kwa yeyote. Hakuna wa kukuuliza, mfano-saivi uko wapi (hili swali hili wanaume wenzangu kama nawaona iviππ), unafanya nini? upo na nani, mbona kama nasikia sauti...