A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.
NASISITIZA; BINTI USIZAE KABLA HAJAKUOA "EPUKA KUWA SINGLE MOTHER"
Na, Robert Heriel
Elewa kuwa jukumu la kubeba mimba Kwa mwanamke ambaye hajaolewa ni lake mwenyewe sio la mwanaume.
Sisi wanaume hatuna muda wa kuwaza mambo ya mimba ambayo hayatuhusu Kwa watu ambao hatujawaoa.
Ndio maana hata...
Hizi ni baadhi ya kauli za wavulana juu ya single maza "ukioa single Maza ukae tayar kuchapiwa", "single Maza sio WA mtu mmoja",,, "single Maza ana wakwe pande mbili na mawifi pande mbili",,,"unaoa single Maza Una akili timamu kweli?"
Swali kwenu wavulana hao ambao sio single Maza mnao chapiwa...
Watu humu mambooz.
Tusichorane. Hakuna mtu yuko peke yake humu ndani. Ni kwamba mtu anamadai eti yupo peke yake halafu ukichunguza ni kwamba hayupo peke yake wapo wawili.
Ni hali tu ya kuwa hajaridhika na mtu wake anataka aongeze aone kama hiyo nayo ni vepi, sasa mtu wangu siyo poa maisha...
6 October 2022
Namanga, Kajiado
Kenya
KENYA KUSHIDWA KUTEKELEZA MAAZIMIO YA ENEO MOJA LA FORODHA / SINGLE CUSTOMS TERRITORY, KUMELETA KERO KUBWA
WaBunge 'wasomi' kutoka Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki, hili nalo kwa kushirikiana na serikali mkalitatue jambo hili la Eneo la Forodha...
Habarini ndugu zangu,
Acha niende kwenye mada moja kwa moja, iko hivi kumekuwa na misemo ya kujifariji kwa sisi vijana eti 'kuwa single unainyoy ' au 'ukiwa single unakuwa huru na mambo yako ' na maneno mengine mengi lakini Ukweli kuwa single ni shida.
Binafsi nina experience ya kuwa Single...
Kama wewe mgonjwa au umefiwa na mumeo sawa Ila Kama wewe ni mwanamke miaka 22 na ni under 40 sio mgonjwa na hujafiwa na mmeo huwezi kuwa single.
Tunadanganyana jamani hakuna mwanamke ambaye yupo single tusidanganyane tuambiane ukweli wanaume walio single wapo wengi Ila wanawake walio single...
Kutoolewa katika umri fulani huja na maneno mengi, na mengi huwa hasi, ya kukera au kuumiza. Lakini je, kila kitu ni kibaya kwa wanawake ambao wamefikia umri wa miaka 35 au zaidi na bado hawajaolewa?
Wanawake wengi wasio na waume walio na umri wa miaka 35 na zaidi, wanahisi kutokuwa salama na...
Wavulana wanahitaji mifano ya kiume. Wanahitaji baba anayewaongoza kwa kielelezo na kwa upole lakini anayewatia moyo kwa uthabiti. Uadilifu ni muhimu kwa wavulana. Wanaitikia vyema nidhamu iliyo thabiti, ya uaminifu na ya haki.
Swahaba wa Mtume (s.a.w) aitwae `Umar alikuwa akitembea na mtoto...
Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.
Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani.
2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto...
Mikopo ya wafanyakazi, ni biashara nzuri sana kwa taasisi za fedha hasa mabenki na biashara hii inachangia sana katika faida za mabenki ya kibiashara.
Hivyo, badala ya BOT kuendelea kukopesha mabenki ya kibiashara na kisha mabenki haya ndio yatoe mikopo kwa wafanyakazi, nashauri BOT waanze...
Siku hizi kwa udadisi wangu naona hili jambo linakuwa kwa speed ya light.
Nikianza na sisi wanaume.
Siku hizi nana tumeinvest sana kwenye kujenga miili,kutumia mikongo,alkasusu nk ili kuwalizisha wanawake kitandani, huku tukikataa kuwajibika kwa output (mtoto) tulizo zitengeneza kitandani na...
Wakuu habari za muda. Kuna hii kitu imenichanganya sana ni hivi,
Kuna single mother mmoja tunaishi sehemu moja alikuwa ananiletea shobo kibao nikaona sasa hii kero. Kanifata fata sana mpaka nikaona sasa hii itakuwa dharau na ukizingatia ni limaza flani lina mzigo wa haja nikaona ngoja nilitupie...
Hello members?, I'm 28. I'm looking for a partner/ girlfriend. I'm looking to be in an emotionally committed relationship. I'm not looking for “the one” or marriage, but I also am not looking for a hookup or just a fling. I'm perfectly fine being by myself, I'm just ready for a partner.
I'm a...
Habari,
Natafuta chumba single self cha kupanga Mwanza maeneo ya Airport road au njia ya Nyasaka.
Kisiwe mbali na kituo cha daladala. Kisizidi Tsh. 80,000/=
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.