sio jambo baya

  1. Mr Why

    Kujamiana siyo jambo baya endapo utazingatia haya

    Ndugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo: Usijamiane na mme au mke wa mtu Usijamiane na watoto Usimlazimishe mtu kujamiana nawe bila ridhaa yake Zingatika kinga na hakikisha unazuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa...
Back
Top Bottom