Ndugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo:
Usijamiane na mme au mke wa mtu
Usijamiane na watoto
Usimlazimishe mtu kujamiana nawe bila ridhaa yake
Zingatika kinga na hakikisha unazuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa...