Paul Sironen (born 23 May 1965) is an Australian former professional rugby league footballer of Finnish descent who was a prominent Second-row forward for the Balmain Tigers during the late 1980s, and early 1990s. He was part of the team that played in successive Grand Finals in 1988 and 1989, and included other representative players Steve "Blocker" Roach, Wayne Pearce, Benny Elias and Garry Jack. He made a number of appearances for both New South Wales in State of Origin, and also for Australia, and has been named as part of the Wests Tigers Team of the Century.
Sironen is the father of Manly-Warringah Sea Eagles second rower Curtis Sironen who made his NRL debut for the Tigers against the North Queensland Cowboys in Round 12 of the 2012 NRL season and Bayley Sironen.
Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe.
Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa...
My Take:
Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira.
Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit.
Mwana kulitafuta mwana kulipata
Huwa najaribu kumuelewa IGP Sirro katika suala la kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, hadi najiuliza hivi kweli uwezo wa IGP Sirro katika kufikiria ndio umeishia hapo?
Suala liko hivi. Huyo askari Luteni wa JWTZ anaita askari anasema ameambiwa na Mbowe kwamba anataka kufanya ugaidi, na anataka...
Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa Polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki?
Kama Polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri?
Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu...
Kwanza Kabisa nichukue muda kidogo kumshukuru Mwenyezi Mungu , mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuamka salama , sema Amina .
Baada ya utangulizi huo wa kiroho nafurahi kukufahamisha kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo 14/9/2021 kitafanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari kwenye ofisi...
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Chanzo: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti.
===
Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo...
10 September 2021
IGP SIRRO AFUNGUKA KUHUSU UGAIDI, ATAJA ALIYOYAKUTA RWANDA "KIKOSI MAALUM, VYUONI, MADRASA"
Baada ya Inspector General of Police (IGP) Dan Munyuza wa Rwanda kukutana na IGP Simon Sirro wamefanya mapitio ya taarifa za kiintelejensia zilizokusanywa kuhusu makosa yanayovuka...
Tunaendelea kupata simulizi za kusisimua toka kwa Tundu Lissu ikiwa ni sehemu ya kumbuizi ya miaka 4 tangu kufanyika kwa jaribio baya lililoshindwa la kutaka kumuua kwa risasi za kivita lakini likimwacha nusu mfu tarehe 7/9/2017....
Shukrani kwa madaktari wa hospitali ya mkoa wa Dodoma...
Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hata kufanya kazi kwa misingi ya haki.
Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi hawana imani na IGP Sirro.
Je, ameshindwa kusimamia polisi kutenda haki?
Huyu mama Suzan Kaganda...
Imeandikwa na: Charles William.
JUZI nimeuona 'moyo' wa Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro ukigugumia kwa hasira na uchungu. IGP Sirro ameumizwa sana na mauaji ya vijana wake (askari) wanne, yaliyofanywa na kijana Hamza Hassan Mohamed.
Agosti 25, mwaka huu Hamza aliwashambulia kwa...
Isiwe yeye kuwasema wenzake tu! Ni vema ambao wamebahatika kuishi na watoto wa Sirro watupe nyepesi nyepesi au nyeti nyeti kuhusu hao watoto.
Kuna siku alionekana km vile anawanadi kwenye tukio la harusi - je mpaka anawanadi ni wameshindikana na hawaonwi na waoaji ama?
Wakuu huyu mama mm namkubari pamoja na mifumo inaweza muathiri lakin ni kiongozi hodari ..atapambana kikamilifu pia anaweza Fanya refoms nzuri ndani ya jeshi la police.. zaidi ya huyu sioni mwingine,,,wewe jee?
Kwa matamshi yako ya juzi na ulivyolishughulikia suala la marehemu Hamza, hakuna anayekuunga mkono. Kila mtanzania mwenye akili, mpenda haki, ukiacha wanaojikomba wapate mlo wao (wanafiki), watu wema, wapenda haki wanakulaani kwa matamshi yako.
Unaonekana kuwatetea mapolisi pamoja na kuwa...
Katika pitapita zangu mitaani nimeshtushwa sana na wananchi badala ya kuhuzunika kwa gaidi kuuwa polisi wetu na badala yake wamegeuka wanawalaumu pili kwa matendo yao ya kubambikizia kesi,dhuluma,uonevu,kuchochea chuki,kuuawa raia wawapo mahabusu nk. Hii inaashiria kiti gani mbona si kawaida...
Kama mkuu wa polisi anakiri hadharani kuwa jeshi analolisimamia linatumia nguvu ya ziada basi ni wazi kuwa jeshi analosimamia huwa linafanya kazi kinyume cha sheria.
Ni nguvu gani ya ziada inayotumika? Kupiga watu walio mahabusu ya polisi? Kutesa mahabusu wa polisi?
Hii ni kinyume na katiba ya...
Iwapo Raisi Samia ataridhia kufanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi kwa kumuondoa IGP Sirro, unadhani ni nani atafaa kukabidhiwa mikobo ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini?
Inawezekana tunaona wengi wao ni tatizo, ila ukweli ni kwamba kuna mmoja,wawili au watatu miongoni mwao wanaweza kuwa na...
Hakika Watanzania tumesikia kauli za mkuu wa Jeshi hivi karibuni, kauli tata sana kwa kiongozi wa juu wa serikalini. Kwanza tulisikia alipotoa kauli tata kuhusia na kesi ya Mbona ambayo tayari ipo mahakamani.
Sijui kwa kutojua au uzembe wa kufikiri kwamba kesi ikishafika mahakamani sio jambo...
1. Kujaribu kumkenehi waziri wa Afya ambaye anahimiza chanjo
2. Mbowe kushikwa
3. Mbatia na NCCR kuzuiwa kufanya mkutano bila sababu hata waziri anashangaa. Hii ni pamoja na Raisi kuagiza
Sirro inawezekana anatumika na lile group la wanaotaka Raisi Samia asifanikiwe.
Kama Raisi usijivutevute...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.