Basi ashampoo sasa hivi si nimerudi mjini kuna pisi nimekutana nayo tiktok shape kali sana tukachat kama week mbili hivi ikanielewa mimi mzee wa mashape ndo ugonjwa wangu.
Pisi ilikuwa Singida nikakomaa nikatuma 80000 ije Dar tuonane.
Nimeipokea ikaja kwangu hadi naandika uzi huu...
Mwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba."
Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!"
Suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu...
Peace be with you all sons of Zion,
Katika maisha kuna mambo piga ua galagaza siwezi kuyafanya sioni manufaa yoyote yapatikanayo kwayo:
1. Kwenda kwa waganga
2. Kushabikia mamipira
3. Kunywa pombe
4. Kumrudia mwanamke niliemuacha
5. Kumpunja mtu haki zake
Na wewe ongeza.
Nipo hapa kuueleza umma kwamba mimi nisiwe mnaa. Furaha yangu kwa Utopolo kula kichapo haiwezi kufichika kwa uzalendo uchwara.
Nawaombea mkienda huko Algeria mchakazwe kama mbwa koko mkirudi msitamanike kabisa. Mna midomo sana
Nimefurahi sanaaaaaa
Hello Hello JF
katika maisha yangu naogopa kumla papa na nyama yake na ikitokea nikienda kuvua baharini simgeuzi naacha nyavu iamue naogopa sana, wengine kazi ya uvuvi hatujazoea. Papa tumpe Uhuru wake hasa mabawa yake yaendelee kubaki intact pasipo choko choko za wavuvi.
Karibuni wavuvi...
Natanguliza shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunileta duniani na kuweza kupata uhai ambao Leo hii unanifanya naweza kufikiri Kwa mapana.
Leo katika kupitia pitia katika mitandao ya kijamii nimekutana na nukuu iliyonukuliwa wanahabari...
Kiongozi huyo wa Upinzani amesema Maandamano na Migomo aliyoitisha dhidi ya Serikali itakayofanyika Jumatatu Machi 20, 2023 kwenye jiji la #Nairobi iko pale pale licha ya Vitisho vinavyotolewa Viongozi wa Serikali.
#Odinga amesema "Ruto na Gachagua hawawezi kuelewa nilichopitia. Nimekuwa...
Na kwa jinsi Presha ilivyonipanda kama Simba SC haitoshinda leo au hata ikitoka Sare/Suluhu tu naweza Kulazwa ICU.
Ninaitakia tu Kila la Kheri Simba SC.
SIWEZI KUKUOA KWA SABABU NIMEKUPA UJAUZITO!
Anaandika, Robert Heriel.
Jilengeshe! jibebeshe! jitegeshe! Utajua mwenyewe. Oooh! Kama ulikuwa hutaki mtoto si ungetumia Mpira, ooh! Kama hukuwa unanipenda mbona ulinifuata ukanitongoza, ooh! Kwa nini hukupiga shut fyongo likaenda nje, wewe...
Kiukweli mke wa mtu ni sumu na za mwizi ni arobaini hichi ndicho kitu ambacho kimenitokea jana maeneo ya maeneo ya Kimara gest x yaaani sio poa kabisa nusura na mimi pia niwe wa upande wa pili.
Jana wakuu nusura nipigwe mambo ila tu kwakuwa nilitumia Maarifa ya mtaa nikachoropoka kwa minjemba...
Wengi huwa ni vijana wadogo tu wapo kwenye 20s hasa wahitimu wa degree na diploma.
ni tabaka tofauti na wauza simu wengine, wao hujitofautisha kwa kuuza simu zenye brand zinazotrend ulaya na marekani tu kama iphone, samsung na google pixel... Simu za kichina na vitochi hawauzi.
Simu hizo bei...
Hello wazee na mashangazi,
Kuna tukio lilinitokea Mwaka 2021 mwishon tarehe kama ya Leo sitokaa niisahau.
Nilikuwa nimekaa zangu Bar nakunywa castle zangu lite na embassy nimekaa na mhudumu tunapiga story za hapa na kule.
Mara ghafla nikasikia SMS imeingia Kwa Simu nikasema siisomi Kwanza...
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Tundu Lissu kutolewa ha Polisi cha Kati leo mchana, amefikishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa mkojo.
Mapema asubuhi, mawakili akiwamo Fatma Karume walizuiliwa kuonana naye huku Jeshi la Polisi...
Habarini
Mimi bhana naishi sehemu fulani hapa Dar sio ushuani nakaa ubalozi wa Marekani pale
Sasa jirani yangu ni kero nikipika kuku anaomba, akisikia napika chochote kile anaomba
Leo nimetoka zangu mihangaiko nimenunua nyama choma na kitimoto nikamwambia muuzaji changanya si najua ni...
Nimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi.
Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe kaenda kalipa. Karudi namuliza umeandikisha na jina. Anasema hawezi andikisha jina lake nikaandike langu...
Siku hiyo nimeamka asubuhi wapinzani wanaongoza. Sina kitu mfukoni. Na simu yangu hata ku deeku haiwezi. Nipo majalala kinoma aisee. Nikawaza nikaona hapa nimuibuikie mwanangu wa damu Gilongwe kijiweni kwake Mwenge.
Basi nikaanza kucheza Reggae mdogo mdogo toka Tegeta mpaka Mwenge. Kufika...
'....Mijadala itatufanya tujisahihishe tulipojikwaa na msitarajie madalali wa mali za umma watafurahishwa na mijadala ya aina hiyo.'
Bashiru - 12 Oct 2018
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake
Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.