smart lock

  1. Gordon Technology

    VITASA VYA MLANGO KUFUNGUA KWA PASSWORD,FINGERPRINT,CARD NA APP-0746373222.

    SMART LOCK. Vitasa hivi ni matokeo ya ukuaji WA TEKNOLOJIA ikapelekea kutengenezwa Kwa vitasa vya milango vinavyo tumia mfumo maalum ili kufungua( password,finger,card na app ya simu). VITASA hivi havitegemei umeme WA Tanesco. Ndani ya kitasa Kuna battery nne ambazo hufanya KAZI Kwa takribani...
  2. ChoiceVariable

    KERO Kuweka Smart Lock kwenye Magorofa ya TBA Magomeni Kota ili kufunga milango kodi inapoisha ni ukatili kwa wapangaji

    Kwamba hizo Smart Lock zitajifunga kama hujalipa kodi, maswali ni mengi kuliko majibu. Hivi likijifunga na watoto wako ndani inakuaje majanga yakitojea mfano ya moto? Network ikizingua control namba ikawa inasumbua itakuaje? Hata kama zitakupa alarm kodi ikikaribia kuisha ila huu ni ukatili...
Back
Top Bottom