Binti murembo sniper wa Brazil katandikwa na mashambulizi ya anga ya Russia. Huu MZIKI WALI Canadian Elite sniper aliukimbia halafu karembo kanaenda eti kuongeza CV😅😅😅😅
Nb: chombo kilichoripoti ni cha UK kwaio usije na porojo za kunihoji mimi
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇
An elite sniper and former...
Wali ni mwanajeshi mstaafu wa kikosi maalumu cha Jeshi la Canada (The Royal 22nd Regiment). Baada ya Zelensky kuomba msaada wa wapiganaji toka Duniani kote, Wali aliamua kuitikia wito huo.
Vyombo vya habari mbali mbali Ulimwenguni vilielezea wasifu wa Wali kwenye field yake kuwa ni sniper namba...
Wengi hutamani sana kufahamu mengi kuhusu bunduki hizi za masafa marefu ambazo wanaofuatilia zinavyotumiwa hasa katika vita wanafahamu jinsi zilivyo hatari.
Lakini kando na kupewa mafunzo ya kipekee kuweza kuitumia, unafaa kujua kwamba bunduki hizo za sniper ni nyingi na kuna nyingi ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.