Huu ujinga aliuanza Haji Manara,badala ya Simba na yanga kuwa watani wa jadi wakawa na chuki ya jadi.
Hawa watoto nao badala ya kuja kivingine wakawa wanapita mule mule alipopita Haji.
Sasa nasikia Alli kamwe Azam nao wanataka bilioni 10 kwa kauli yake kuwa Dube kila akikaribia goli wanazima...
Mtazamo wangu baada ya kuwatazama Barcelona dhidi ya Madrid, nimegundua kwamba, pamoja na kufanya mazoezi ili mchezaji aweze kucheza soccer kikamilifu na kung'ara anatakiwa pia awe na akili kubwa.
Akili kubwa itamfanya mchezaji kufuata maelekezo ya kocha akiwa kwenye mechi na pia itamuwezesha...
Business idea hii itabase kwenye moja ya sehemu yenye idadi kubwa ya watu ukiacha mziki nayo si nyingine ni Soka(Mpira wa Miguu). Soka letu linakua kiasi sasa ni muda wa kutumia fursa mbalimbali zilizopo kwenye Soka.
Je ni ipi hiyo business idea?
Hii ni business idea kwa ajili ya kuanzisha...
Leo ni mwanzo wa hearing ya man shitty kutokana tuhuma zao za kitapeli tapeli katika soka.
Unaweza kununua makombe lakini hauwezi kununua historia na class.
Ndio maana nabaki kusema man utd, liverpool na Arsenal ndio sura ya Epl.
Mo ni mbinafsi,
Changu ni changu chako ni changu
Pesa yake ni yake, ila pesa inayopatikana SSC kama fungu la CAF au NBCPL pia ni yake,
Hii ni Falsafa yake,
Akisimama ktk camera husema simba ni yake,
Ana wajumbe wake kwenye bodi upande wa uwekezaji,
Wote ni watiifu kwake,
Wote wamejiuzuru...
Mungu alianza uumbaji wake katika siku ya kwanza.
Akaamua kuweka ardhi, lakini hii ardhi akaamua kuitofautisha, kwa nini? Kwa sababu alitaka dunia ipendeze. Akaiwekea miti na kwingine akaamua kupawekea mchanga mwingi na kupaita jangwa.
Kwingine akaamua kupawekea tu mchanga wa kawaida, ndipo...
Probability of winning the 2023/24 CAF Champions League according to Africa Soccer Zone.๐๐
Mamelodi.,........24%
Al ahly........20%
esperence ....14%
Petro atletico 12%
Young Africans .....10 %
Tp mazembe.......6%
Simba ........6%
Source...... African soccer zone
๐๐
#TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
eFootball ni mchezo wa simu unaohusisha mpira wa miguu, na hapa kuna habari muhimu kuhusu mchezo huo:
1-Jina na Kurekebishwa: Mchezo huu awali ulijulikana kama "Pro Evolution Soccer" (PES), lakini baadaye ulibadilishwa jina kuwa "eFootball." Mabadiliko haya yalifanyika ili kuongeza msisimko na...
Mchezo wa kabumbu, ujulikanao kama Mpira wa miguu, kwa kimombo Soccer au Football. Ni miongoni mwa michezo pendwa Duniani, na ni mchezo unaoshika nafasi ya kwanza duniani kwa kutizamwa na kufatilia. Kwa hapa Tanzania mpira wa miguu umekuwa una vipindi maalumu vya uchambuzi kwenye Radio na TV...
Salaam wakuu.
Kama picha inavyoonekana hapa juu, nimeseti hili game la Dream league soccer Simba SC mod vizuri lakini mwishoni kwenye hatua za kuanza kuplay linagoma na kuleta maneno Kama picha inavyoonekana hapa chini.
Je, tatizo Nini wakuu?
Mwenye uzoefu anipe msaada๐๐ฟ๐๐ฟ
Mimi sio mpenzi sana wa kufatilia mpira, huwa nacheki games muhimu tu ambazo zinazungumzwa sana mitandaoni. Sasa kuna baadhi ya vitu natamani kuvijua. Kwa sababu humu kuwa wakongwe wa haya mambo naamini nitapata kuelewa.
Huwa najiuliza maswali haya,
_ hivi wale linesman huwa hawaruhusiwi...
Habari wana Jamii Forums.
Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy.
Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka.
Mazoezi yanafanyika viwanja vya Masaki Sports Park, Karume Road, Masaki.
Tunafanya session za watoto kwa ratiba...
Habari wana Jamii Forum.
Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy.
Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka.
Mazoezi yanafanyika viwanja vya Masaki Sports Park, Karume Road, Masaki.
Tunafanya session za watoto kwa ratiba ifuatayo...
Tunasubiri IT wa kibongo watungengenezee za Simba na Yanga kwenye PS5 au X box
Kazi kwenu....
https://www.reuters.com/lifestyle/sports/nigerian-soccer-joins-video-game-big-league-local-stars-get-avatars-2022-07-08/...
Mwezi wa nane mwakani mgeni anakuja mgeni ambaye wenzetu Ulaya wamemkataa lakini kama kawaida ya wazungu wakaamua kumleta Afrika na kama kawaida yetu tunamkumbatia bila kujali madhara yake kwa soka letu.
Kwa kiwango cha pesa kwenye super league na guarantee ya kutoshuka daraja Simba haitojali...