Hapa ni mahala salama kwa mpenzi wa Dream League Soccer(DLS). Game hili limetengenezwa na Kampuni ya FIRST TOUCH SOCCER(FTS). Game la DLS ni game bora zaidi kwa sasa duniani kwa upande wa soccer.
SIFA PEKEE YA DLS
1. Linachukua nafasi ndogo kwenye simu. Pamoja na ubora wake wa graphics bado...
Nitakataa mpaka kesho ukiniambia mechi za ligi yetu ya mpira wa miguu ni mchezo sawa na mpira wa miguu wa wenzetu tunaowaona kwenye Tv zile game za akina Mbappe, Messi na Ronaldo, adhani ni michezo miwili inayofanana tu, kama ilivyo soccer ya ufukweni nk.
Mbona hawa wa kwetu wote wanakimbilia...
Afcon 2022
Baada ya refa wa Zambia kupiga kipenga cha mwisho kabla ya muda wa mechi kukamilika katika mechi kati ya Tunisia dhidi ya Mali, wakufunzi wa timu ya Tunisia waliwasilisha pingamizi baada ya mechi hiyo wakitaka kujua ni kwanini refa huyo alichukua uamuzi huo kabla ya muda wa mechi...
Iran have sealed their progression into the knockout stages, with a commanding 6-1 win over Japan in Group B of the 2021 Inter-continental Beach Soccer Cup in Dubai.
After a goalless action in the opening time-frame, Team Melli took the lead, early in the second period through Mohammad Ali...
Wakuu sometimes mtu unajikuta huna bando la internet na pengine umeweka mkeka wako na unatumia Freebasics huna access na internet.Tutumie huu uzi kufahamishiana matokeo ya mechi na ratiba za mechi za Tanzania na Ulaya pia.
Habari wadau wa michezo?
Mashabiki wa damu wa Liverpool wana hasira sana na Aguero sababu ya unyama anao watendea mara kwa mara wakati timu yao LFC inapokutana uwanjani na Manchester City FC.
Sasa katika kupoza machungu na kushangilia hasimu wao kupoteza pointi 2 jana tarehe 17/08/2019 Man City...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.