soka kimataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Kwa mpira huu Yanga washukuru sana hawakufuzu Champions League, ingekuwa aibu ya rekodi

    Yanga wangefuzu Champions League kwa kuitoa Al Hilal ndio wangepangwa hili kundi hapa chini. Kwa Yanga hapa wangeondoka na pointi ngapi? Maana Al Ahly mwenyewe ana pointi 1 kwa mechi 2.
  2. S

    Tanzania miaka 60 bado tunafuta njia ya mpira

    Kama unatazama hii Mechi ya Al Ahly vs Mamelodi Sundown, halafu unamsikia kiongozi wako anakwambia sisi malengo yetu ni nusu fainali ya Champions League, mpige kibao azinduke. Hawa jamaa wapo mbali sana kisoka, tukubali mpira unanjia zake na sisi bado tupo vichocholoni tunatafuta njia (hatua)...
  3. Natafuta Ajira

    Moïse Katumbi, umejisikiaje kucheza na timu kubwa?

    Niseme nini kuhusu Yanga Africa, niambieni niseme nini? Mpaka kesho najiuliza hivi inawezekana vipi kuwa shabiki wa soka bila kuipenda Yanga? Sijawahi kupata jibu. Yanga ni furaha, Yanga ni upendo, Yanga ni kielelezo cha ladha halisi ya soka. Ifike hatua huyu Mayele tumtafutie jina lake maalumu...
  4. Mchochezi

    FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023

    Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika. Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi. Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk...
  5. G

    Simba, maumivu mnayopata ni kidogo tu kulinganisha na ambayo huwa tunapitia Yanga. Huwa tunalala na viatu na kusononeka zaidi yenu

    Kwa bahati nzuri navyowajua mashabiki wa Simba kwa mpira ni kama sharehe fulani tu ambayo hata ikiwaletea maumivu basi ni siku 2 ama 3 tu maumivu yanapoa, na hata ile maumivu huwa sio kivileee. Jamani huku Yanga hali ni mbaya sana, Wananchi huwa mood zinavurugika vibaya mno, mbovu, mbaya. Yanga...
  6. Baraka Mina

    Waziri Dkt. Pindi Chana alishuhudia Mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba Sports Club dhidi ya Raja Casablanca

    Kuna shutuma zimetolewa na MINOCYCLINE zikiwa na lengo la kuichafua Serikali, Waziri Dkt. Pinda Chana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Serikali kupitia Waziri Dkt. chana imehudhuria michezo yote ya Simba na Yanga na sio mchezo wa Yanga pekee kama ambavyo MINOCYCLINE ameeleza. MECHI YA...
  7. Mangi shangali

    Kinyumenyume FC

    Habari zenu, Mpira ni kitu cha wazi, kinachezeka uwanjani, Simba wanalitia taifa aibu sana. Waliwasha moto South, jana wamerudisha gari kinyumenyume, mganga wao sijui kasomea driving school! Yanga leo wameifundisha Simba kuwa mpira unachezeka hadharani. Asanteni.
  8. Kilimbatzz

    Mohammed Dewji: Jana tumefungwa Magoli, leo tumefungwa Midomo

    Siyo maneno yangu, ni ya big boss MO. Kesho kutwa Mo na Azam kama TFF haitawaonea huruma na kuhairisha mechi kwa kichaka kuwa mnashiriki kimataifa.
  9. Little brain

    Mashabiki waliamsha baada ya mwamuzi wa kati kutoa penati dakika ya 90+2

    Mashabiki wa klabu ya Unisport FC de Bafang walivamia uwanja na kuwapiga waamuzi baada ya mwamuzi wa kati kutoa penati dakika ya 90+2 dhidi ya Victoria United katika mchezo wa mzunguko wa 13 wa Ligi ya Daraja la Pili nchini Cameroon 🇨🇲 maarufu kama MTN Elite Two. Hadi kufika dakika hiyo...
  10. Dalton elijah

    Hugo Lloris ametangaza kustaafu kucheza Soka la Kimataifa

    Official, Golikipa wa Tottenham na Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Hugo Lloris amestaafu kucheza soka la kimataifa. Hugo ameichezea Ufaransa Michezo 145 akifanikiwa kufika fainali mbili mfululizo za kombe la Dunia na kushinda 1. Hivyo baada ya kustaafu Kylian Mbappe ndiye atakuwa Nahodha...
  11. pwilo

    Kweli Simba ni next level

    Za weekend wadau wa soka, Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani. Ikiwa league inaelekea ukingoni huku Yanga akionekena kuwa na dalili zote za kuwa bingwa japo lolote linaweza kutokea ila kimahesabu ni bingwa mtarajiwa. Ila bingwa anaongoza...
Back
Top Bottom