soka tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Sikio la kufa halisikii dawa, unapumzisha wachezaji kwa ajili ya nusu fainali na unakandwa kama kawaida

    Robertinho bado ni kocha mwenye mapungufu mengi, wanaomfananisha na Nabi naona wanasukumwa na mihemko ya kishabiki na sio uhalisia. Mechi na Namungo akupaswa kufanya utoto kama ule eti anawapumzisha wachezaji wa kikosi cha kwanza kwa ajili ya Nusu Fainali Azam Federation, unatakiwa ushike...
  2. sky soldier

    Ikiwa Yanga watabeba kombe la CAF Shirikisho wataheshimika zaidi ya Simba iliyofuzu Makundi ya CAF CL mara 3

    Ingekua vipi, ingekuwa vipi? Navuta taswira kwa nadharia kwamba, Yanga ikiweza kubeba Kombe laCAF Shirikisho je, kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi Simba waliofuzu makundi ya CAF CL mara 3 ndani ya miaka mitano?
  3. PakiJinja

    Msemaji kama Msemaji katika ubora

    Wakati nyie mnaparurana huko, sisi kama sisi huwa tupo peace and love na huwa tunapongezana pia kusaidiana mbinu pale inapohitajika. Haya ya kuchukiana tunawaachieni nyie mnaotoa viingilio.
  4. Dalton elijah

    Tanzania has entered into agreements with three American clubs to enhance tourism and investment opportunities

    Tanzania has signed Memorandums of Understating (MOU's) with the United States’ Major League Soccer (MLS), The National Football League (NFL) and National Basketball Association (NBA) clubs to promote the country’s tourism and investment opportunities. The clubs involved in the lucrative deals...
  5. PakiJinja

    Malimwengu ya mashabiki wa soka Tanzania

    Katika pitapita zangu mitaani, mitandaoni na vijiweni nimekutana na mashabiki wa Yanga na Simba wakitaniana, tambiana na kupigana vibisibisi vya hapa na pale. Hiyo yote inapelekea kunogeshwa kwa soka la bongo. Kali na kubwa kuliko yote ni pale ambapo mashabiki wa Simba vile wamekuwa wanaibeza...
  6. S

    Baleke kwa Nabi ni benchi

    Baleke yupo kwenye kiwango bora sana, lakini kwa mifumo ya Nabi pale Yanga hachezi! Chama mwenyewe chini ya Nabi ananzia benchi. Ni inonga tu, anaweza kuingia kwenye kikosi cha Nabi moja kwa moja, kwa nature ya uchezaji wake.
  7. L

    Mbogo Maji Ihefu waipania Simba Jumatatu ya Pasaka

    Ihefu maarufu kama Mbogo Maji wamekula za uso 5 kwa 1 jana usiku ktk mchezo wa robo fainal ya kombe la azam, hata hivyo Mbogo Maji imetamba kulipiza kisasi katk mchezo wa marudiano wa ligi ya NBC uliopangwa kupigwa cku ya j3, yaan keshokutwa. Mbogo Maji wamepost kwenye ukurasa wao wa insta kwa...
  8. Labani og

    Ukweli unaoonesha Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu

    Hizi ni baadhi za facts kuonyesha kuwa sisi mashabiki wa Simba El de colo ni mbumbumbu; 1. Kuamini kuwa timu yao itavuka Robo Fainali kwa hili pira butua butua - tunashinda ila hatuna furaha. 2. Kuendelea kuwaamini wazee kwenye kikosi. 3. Usajili mbovu - timu ilijisifu kupata uwekezaji mkubwa...
  9. J

    Kwa mpira huu Yanga washukuru sana hawakufuzu Champions League, ingekuwa aibu ya rekodi

    Yanga wangefuzu Champions League kwa kuitoa Al Hilal ndio wangepangwa hili kundi hapa chini. Kwa Yanga hapa wangeondoka na pointi ngapi? Maana Al Ahly mwenyewe ana pointi 1 kwa mechi 2.
  10. S

    Tanzania miaka 60 bado tunafuta njia ya mpira

    Kama unatazama hii Mechi ya Al Ahly vs Mamelodi Sundown, halafu unamsikia kiongozi wako anakwambia sisi malengo yetu ni nusu fainali ya Champions League, mpige kibao azinduke. Hawa jamaa wapo mbali sana kisoka, tukubali mpira unanjia zake na sisi bado tupo vichocholoni tunatafuta njia (hatua)...
  11. Natafuta Ajira

    Moïse Katumbi, umejisikiaje kucheza na timu kubwa?

    Niseme nini kuhusu Yanga Africa, niambieni niseme nini? Mpaka kesho najiuliza hivi inawezekana vipi kuwa shabiki wa soka bila kuipenda Yanga? Sijawahi kupata jibu. Yanga ni furaha, Yanga ni upendo, Yanga ni kielelezo cha ladha halisi ya soka. Ifike hatua huyu Mayele tumtafutie jina lake maalumu...
  12. Mchochezi

    FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023

    Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika. Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi. Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk...
  13. G

    Simba, maumivu mnayopata ni kidogo tu kulinganisha na ambayo huwa tunapitia Yanga. Huwa tunalala na viatu na kusononeka zaidi yenu

    Kwa bahati nzuri navyowajua mashabiki wa Simba kwa mpira ni kama sharehe fulani tu ambayo hata ikiwaletea maumivu basi ni siku 2 ama 3 tu maumivu yanapoa, na hata ile maumivu huwa sio kivileee. Jamani huku Yanga hali ni mbaya sana, Wananchi huwa mood zinavurugika vibaya mno, mbovu, mbaya. Yanga...
  14. Baraka Mina

    Waziri Dkt. Pindi Chana alishuhudia Mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba Sports Club dhidi ya Raja Casablanca

    Kuna shutuma zimetolewa na MINOCYCLINE zikiwa na lengo la kuichafua Serikali, Waziri Dkt. Pinda Chana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Serikali kupitia Waziri Dkt. chana imehudhuria michezo yote ya Simba na Yanga na sio mchezo wa Yanga pekee kama ambavyo MINOCYCLINE ameeleza. MECHI YA...
  15. Mangi shangali

    Kinyumenyume FC

    Habari zenu, Mpira ni kitu cha wazi, kinachezeka uwanjani, Simba wanalitia taifa aibu sana. Waliwasha moto South, jana wamerudisha gari kinyumenyume, mganga wao sijui kasomea driving school! Yanga leo wameifundisha Simba kuwa mpira unachezeka hadharani. Asanteni.
  16. Kilimbatzz

    Mohammed Dewji: Jana tumefungwa Magoli, leo tumefungwa Midomo

    Siyo maneno yangu, ni ya big boss MO. Kesho kutwa Mo na Azam kama TFF haitawaonea huruma na kuhairisha mechi kwa kichaka kuwa mnashiriki kimataifa.
  17. Erythrocyte

    Uchaguzi Simba ni balaa, Asha Baraka atishiwa kuuawa

    Hii ni taarifa aliyoitoa yeye mwenyewe kwa Waandishi wa Habari, kwamba anatishiwa kuondolewa uhai wake kwa kuomba Uongozi wa Simba. Sasa tunajiuliza hapa Simba pana nini hadi watu waanze kutaka kuwaua wenzao?
  18. Kaka Yaoh

    Sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii

    Huu ni utabiri uliopo wazi kabisa, leo hii mara baada ya dakika tisini kuisha pale taifa; hakika sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii. Timu haina mipango magoli, tunategemea ya kujifunga. Yaani Ndondokela Kocha hana mbinu, yaani yeye kakaa kukalili tu mfumo, yaani hata huo uprofesa sijui alipata...
  19. Sumu Boy

    Msaada wa Dawa ya Vidonda vya Tumbo

    Kwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu hayupo lakini tumbo bado ni changamoto kupona. Kama kuna mtu anaijua tiba kamili ya huu ugonjwa...
  20. utopolo og

    Gharama ya kuweka kambi Dubai ingetumika kusajili wachezaji bora

    Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli? Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri? Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku...
Back
Top Bottom