Nyota wa zamani wa Real Madrid, Arsenal na timu ya Taifa Ujerumani, Mesut Özil ametangaza kustaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 34.
“Nataka kuwashukuru Schalke, Werder, Real Madrid, Arsenal, Fenerbahçe na Basaksehir, marafiki zangu wote katika soka. Ilikuwa ni safari ya ajabu”.-Ozil...