Nimeshangaa sana anadai penati ya Simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penati. Kama una unazi achana na unazi binafsi, nakukuheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/ makosa ya huyo mama Jenesia, acha kabisa...
Wewe kama ni msanii mwenye mafanikio makubwa na uliepata utajiri au fedha nyingi kupitia fani yako, kamwe usijingize kwenye siasa wakati bado uko kwenye chati, bali fanya hivyo pale amapo umri unapokutupa mkono kutumikia fani yako, au pale kiwango chako kinapoanza kuporomoko kwa maana ya uwezo...
Habari wana jamvi,
Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji.
Alianza kwa mbwembwe za kufika fainali ya Europa hatimaye akala kipigo kitakatifu kutoka kwa timu iliyokuwa...
Baada ya mapokezi ya Bombadier majuzi kule Mwanza, upande wa pili, Rais wa Zanzibar Dk Shein aliwaalika Ikulu wachezaji wa Timu ya Taifa ya Soka kwenda kula nao chakula na isitoshe akawapa na zawadi Fedha, kwa kazi nzuri waliofanya kule Kampala katika mashindano ya CECAFA!Katka hali ya kawaida...
Katika viwango vipya vya soka vilivyotolewa na FIFA leo vinaonesha kuwa Tanzania imeshuka nafasi moja katika hivyo na kufikia nafasi ya 134, kutoka 133. Aidha, Kenya imepanda nafasi mbili na kufikia 106, huku Uganda ikipanda nafasi mbili na kufikia 77. Kutokana na viwango hivyo vipya orodha ya...
Medie Kagere ametajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwenye orodha wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ngazi ya Vilabu 2019 (African Interclubs Player of the Year).
Emmanuel Okwi ambaye msimu uliopita alikuwa sehemu ya kikosi chetu na yeye ametajwa kuwania tuzo hiyo...
Mshambliaji wa timu ya Vissel Kobe ya Nchini Japani, David Villa, 37 raia wa Hispania asema kuwa ataastaafu kucheza soka mwaka ujao baada ya kumalizika kwa msimu wa ligi kuu nchini Japan.
Mshambuliaji huyo aliyejiunga na timu ya Kobe Desemba mwaka jana amesema kuwa ana mpango wa kustaafu...
Leo kulikuwa na interview ya Zahera akihojiwa na E Fm na amefunguka mambo mengi yaliyoendelea kati yake na ya Yanga moja kati ya mijadala ya humu yalikuwa yanahusu viongozi wa team kuingilia majukumu ya kocha, hili jambo nilikuwa nasikia Ila sikutaka kuamini Ila Zahera amelisema ndiyo nimeamini...
Habari wadau wa michezo?
Mashabiki wa damu wa Liverpool wana hasira sana na Aguero sababu ya unyama anao watendea mara kwa mara wakati timu yao LFC inapokutana uwanjani na Manchester City FC.
Sasa katika kupoza machungu na kushangilia hasimu wao kupoteza pointi 2 jana tarehe 17/08/2019 Man City...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.