soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. CK Allan

    TFF, Bodi ya Ligi na Azam TV wanahujumu soka la Bongo

    Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali. Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi? Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini...
  2. T

    Soka la Bongo linakosa ushindani wenye tija

    Soka la Bongo bhana, wakati Simba ikiwaza zaidi kushindana kimataifa na kupiga hatua flani kimataifa, timu nyingine zilizobaki za Ligi Kuu zinafikiria kushindana tu na Simba. Mfano Yanga, wao wako kushindana na Simba tu, hawana mipango yoyote ya kimataifa, wao kazi kuiga na kushindana na simba...
  3. Mkongwe Mzoefu

    Ushabiki wa siasa katika taasisi za soka: Wakati umewadia sasa kwa FIFA kushusha rungu lake kwa vilabu vya Yanga na Simba

    Wewe ni mwekezaji tuu, na unahisa sizizozidi 49% hivyo Simba haiwezi kuwa Mali yako completely na kufanya utakalo bila ridhaa ya wengine. Nani kakutuma umpigie kampeni Magufuli katika shughuli rasmi za club bila ridhaa ya wanachama? Club yetu haina itikadi ya kisiasa wala kidini hivyo ukome na...
  4. Sol de Mayo

    Leo miamba ya soka kukutana uso kwa uso

    Leo miamba ya soka kukutana saa 4 kamili usiku, huku Sevila ikiwa na wachezaji hatari sana. Barnega, Ocampos, Munir El haddad na Suso.,,. Inter wao wakiwa na Lautaro na lukaku. LAUTARO MARTINEZ LUCAS OCAMPOS
  5. Influenza

    Ratiba ya Ligi Kuu Soka England 2020/21: Liverpool yaanza na vigogo. Man City na Man Utd kuanza ligi wiki ya pili

    Ligi Kuu Soka England itaanza kurindima Septemba 12, 2020 na Bingwa Mtetezi, Liverpool inaanzia nyumbani ikiikaribisha Leeds ambayo ni Bingwa wa Championship Baada ya kucheza na Leeds, Liverpool itasafiri kwenda Stamford Bridge kuchuana na Chelsea na mchezo wake wa tatu utakuwa dhidi ya Bingwa...
  6. dvj nasmiletz

    Hebu Tengeneza kikosi kimoja cha soka toka kwa wachezaji wa club mbalimbali duniani

    Kuanzia kocha, kipa mpaka foward Wachezani watoe kutoka club yoyote duniani ili kuwapata first 11 yako. Yaani namaanisha changanyachanganya wachezaji. Wasitoke timu moja.
  7. mr mkiki

    Kinachoendelea katika soka kwa sasa ni unafiki, kama sio unafiki basi watendaji wanaishi katika hofu isiyojulikana

    INACHEKESHA kidogo. Sahau kuhusu matokeo ya jana Uwanja wa Taifa. Kabla ya mechi wakubwa walitangaza mashabiki 30,000 tu wangeruhusiwa kulitazama pambano la jana wakiwa uwanjani. Ni katika uwanja unaochukua mashabiki 60,000. Kisa? Hofu ya kusambaa kwa virusi vya corona. Vinatajwa virusi hivi...
  8. Ulimakafu

    Wenye mitandao mnatukera na meseji zenu za matangazo

    Jamani wenye mitandao mmezidi kuturundikia SMS za matangazo na promosheni zenu zisizokoma mpaka usiku wa manane.Yaani kwa siku unaweza kupokea SMSs kama 5+, kwa maana hiyo ukiwa na SIM card nyingi ndio unaongeza kero. Watumiaji tunahitaji kuwasiliana ili kufanikisha shughuli zetu za kila siku...
  9. Analogia Malenga

    Mashabiki wa soka ruksa kuingia viwanjani kushangilia kabumbu

    Serikali imeruhusu mashabiki wa soka kuhudhuria uwanjani kwa kuzingatia taratibu za afya, isipokuwa kwa mechi kubwa wataingia nusu. Mei 21 Rais Magufuli alitoa tamko la kuruhusu michezo yote na shule kuendela kuanzia Juni 1, 2020 kwa kuwa #CoronaVirus imepungua nchini. Alizitaka Wizara ya Afya...
  10. J

    Dkt. Mwakyembe: Tumefungulia soka pekee michezo mingine itasubiri baadaye

    Waziri wa michezo Dkt. Mwakyembe amesema wamefungulia mchezo wa soka kwanza ili ligi zikamilike ila michezo mingine itasubiri kidogo. Chanzo: Channel ten!
  11. SankaraBoukaka

    TFF na BMT mpo serious kweli? Hivi Kagere na Morrison wanaliuaje Soka letu?

    Hili swala la wachezaji wa kigeni linaonekana kama zima moto lakini siyo mwarobaini wa Soka letu. Hata tukiwa na mmoja wa kigeni soka letu bado lipo hapa hapa, tatizo letu kubwa ni ukuzaji wa vipaji tulivyonavyo. Kama tukiweza kusimamia hilo hata hao wa nje hakuna atakaosumbuka nao. Cha muhimu...
  12. Influenza

    Ligi Kuu soka nchini Ufaransa yafutwa kutokana na CoronaVirus. Maamuzi ya PSG kupewa Ubingwa au la kujulikana Mei

    Ligi Kuu Soka nchini Ufaransa (The Ligue 1) na Ligi Daraja la Pili (Ligue 2) zimefutwa baada ya Waziri Mkuu wa nchini hiyo kusema michezo yote itatakiwa kuendela Septemba 2020 Amesema kuwa michezo yote iwe inachezwa bila mashabiki au na mashabiki haitaweza kuendela nchini humo kabla ya Septemba...
  13. barafuyamoto

    Washambuliaji wa soka wa zamani wa kitanzania? Ni kitu gani walifanikiwa maana kumekuwa na kasumba washambuliaji wa sasa wa Kitanzania hamna kitu!

    Habari zenu! Nilikuwa nasikiliza na kuangalia kipindi cha mshike mshike cha azam tv, leo tarehe 19/04/2019. Wanaongelea washambuliaji wa zamani wa kitanzania. Wamemuhoji Mogella Zamoyoni na Edibily lunyamila na madaraka suleiman Wametoa pia reference ya Mohamed hussein wa yanga kuwa hapo...
  14. Influenza

    Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu sheria namba tatu ya FIFA inayohusu idadi ya Wachezaji Uwanjani

    Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inachezwa na timu mbili, kila moja ikiwa na Wachezaji wasiozidi 11, mmoja wao ni Kipa. Mechi haiwezi kuanza ikiwa timu yoyote ina Wachezaji chini ya 7 Kiwango cha juu cha kubadili Wachezaji wakati wa mechi kwenye...
  15. Influenza

    Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu Sheria namba Mbili ya FIFA inayohusu Mpira wa Soka

    Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mpira unatakiwa uwe wa Mviringo wenye Mzingo/Mzunguko wa Sentimita 68 hadi 70 (Mpira Namba 5), ukitengenezwa kwa ngozi au malighafi yoyote inayofaa Mwanzo wa mechi, mpira unatakiwa uwe na uzito usiopungua Gram 410 na...
  16. Influenza

    Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu Sheria namba Moja ya FIFA inayohusu Uwanja wa Soka

    Kwa mujibu wa Sheria hizo za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inaweza kuchezwa kwenye Uwanja wenye nyasi asilia au za kutengeneza ila nyasi za kutengenza lazima ziwe za rangi ya Kijani Uwanja wa kuchezea lazima uwe wa umbo la Msatili ukiwa umewekewa alama za mipaka kwa...
  17. Erythrocyte

    Video: Mbunge wa Mbeya Mjini akabidhi vifaa vya kisasa vya michezo kwa timu za soka

    Mh Joseph Mbilinyi leo amekabidhi vifaa vya kisasa vya michezo kwa timu za soka jimboni kwake Kwa awamu ya kwanza timu zilizonufaika ni pamoja na: 1. Airport Rangers (Kata ya Iyela) 2. Stone fire (Maaga) 3. Iganzo fema club (Iganzo) 4. Iwambi FC (Iwambi) 5. Iyunga boys (Iyunga) 6. Itende FC...
  18. M

    Kanali Idd Kipingu, bado soka linakuhitaji mzee

    Mzee wetu Kanali Idd Kipingu inafikia wakati tunakumbuka jinsi Makongo Sekondari ya enzi zako ilivyokuwa incubator ya Mastaa wa VPL. Wachezaji kama Juma Kaseja, Henry Joseph, Mussa Mgosi, Jerry Tegete, Boniphace Pawasa nk ni miongoni mwa matunda mazuri ya Shule ya Sekondari ya Makongo. Lakini...
  19. M

    Simba, tafadhali mtoeni Said Ndemla kwenye kifungo hiki

    Kwa kiwango cha uchezaji cha kiuongo mahiri Said Ndemla hastahili kufanyiwa haya anayofanyiwa. Kumuweka benchi kijana huyu kwa miaka mitatu (03) haiko sawa na kuto mtendea haki. Inanawezekana yeye ameridhika na malipo anayopata Simba, ila atambue kuwa mpira ni kazi inayodumu kwa miaka michahche...
  20. George Betram

    Je, Samatta atafanya makubwa EPL?

    Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge. Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto. Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
Back
Top Bottom