Waafrika Haipaswi Kushabikia Soka la ulaya "Uropa"
Waafrika wanapoteza wakati muhimu kutazama Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga ya Uhispania, Bundesliga na ligi zingine za kandanda za Uropa. Wakati wanapuuza ligi zao za michezo.
Kwa sababu tumeambiwa kwamba kutazama mpira wa miguu ni jambo la...
Hili swali tuliambiwa tuwaulize GSM kama ikitokea tumekosa Ubingwa na ni kutokana na kikosi kikali ambacho Yanga tulisajili ukilinganisha na cha Simba chenye wachezaji Wazee. miaka karibia 4 Simba imekuwa na Kikosi cha wachezaji wazee sana. lakini inashangaza hawa ndo wanaokipatia matokeo...
Yawezekana kuna watu watakataa lakini hilo ni 'non of my business '
Nije kwenye mada moja kwa moja, kwa maoni yangu naona soka la bongo limekuwa zuri haswa, yaani hata ukilipa au kutenga muda kuangalia mpira unafurahi.
Binafsi sikuwa mpenzi wa kukaa na kuangalia mpira wa Bongo katika TV ila...
Katika mpira wa miguu ambao uwa unasimamiwa na Sheria mbalimbali ambazo zinazotolewa na FIFA, kuna baadhi ya Sheria zimeondolewa.
Ukiwa kama mpenda soka je Sheria gani unaikumbuka Sana ambayo imeondolewa na unatamani ingetumika tena.
Kwangu mimi uwa naikumbuka Sheria ya Goli la Dhahabu...
Jumatatu iliyopita Wabunge ambao waliripotiwa kuwa ni mashabiki was Yanga waliingia Bungeni wakiwa na bashsha
Bila kuficha furaha yao walinyoosh vidole vyo juu wakiashiria kufurahia kipigo ilichokipata Simba mbele ya Kaiser ya Afrika kussini.
Nilijiuliza maswali mengi kwa tukio like lissilo...
Tunaweza tusikichukulie kwa jicho la tatu ila kitendo kilichofanywa na yanga ni cha kishujaa na manufaa makubwa ya soka letu. Kama hii mechi ingechezwa leo saa 1 usiku basi tayari ndio ingekuwa michezo ya TFF kila siku kucheza na ratiba kwa sababu wangejua kumbe hakuna kitu chochote...
Kama kuna Watu ambao ama hakika wamenifurahisha ni TFF kupitia Bodi ya Ligi hasa kwa Kumpanga Mwamuzi (Referee) Mwandembwa (Mwanangu kabisa) kutoka Arusha awe 'Pilato' wa Simba na Yanga Jumamosi tarehe 8 May, 2021.
Tafadhali naomba kila mwana Simba SC afanye upesi akakate Tiketi yake mapema...
Lengo langu ni kuhamasisha michezo nchini Tanzania na baada ya muda mfupi tutafika East and Central Africa , wadhamini wa ndani na nje ya nchi wamepatikana na mazungumzo yamefika pazuri .
Nakaribisha maoni ya namna nzuri ya kuendesha michuano hii ili kukidhi vigezo vya FIFA .
Karibuni
Hivi sheria gani ya Soka ambayo FIFA pia wanaitambua isemayo Kona ikiwa inapigwa huku Mabeki Wawili wakiwa katika Milingoti halafu Mchezaji wa Timu Pinzani akatokea mbali na Kuruka hadi Kufunga zuri ni Kuotea?
TFF, Bodi ya Ligi na Chama cha Waamuzi nchini Tanzania endeleeni tu Kuulea huu Upuuzi...
Nimeingia getto muda sio mrefu, nikaona ngoja niweke mawingu fm nisikilize michezo extra..Nakuta ndo kwanza kipindi kinaanza...Moja ya mechi walioiongelea ni game ya Namungo na Raja casablanca na Namungo amepigwa sijajua goli ngapi.
Hoja za wachambuzi wa mawingu fm wanasema NAMUNGO imebebwa na...
Mimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango chake hasa uwezo wake wa kufunga. Bahati nzuri kwake ni kuwa udhaifu wake unafichwa na ubora wa timu...
Tunawaomba wadau wa soka wote wa ndani na nje ya nchi kuisaidia timu ya Yanga katika kipindi chake kigumu inachopitia , timu hii kiukweli haikuwa na kocha , Kaze hakuwa kocha , hajui chochote kuhusu soka na sidhani kama alifurahia kazi aliyopewa .
Tunawaomba wapenda soka hata kwa gharama zenu...
Hii ni baada ya Rangers kutwaa ubingwa wa nchi hiyo hapo Jana.
===
Rangers have been crowned Scottish Premiership champions, removing Celtic’s vice-like grip on the trophy at the 10th time of asking.
Celtic’s 0-0 draw at Dundee United, following the 3-0 victory for Steven Gerrard’s side over St...
Baada ya kusimama kwa muda ligi kuu soka Tanzania bara inarejea tena hiyo kesho tarehe 11 Februari, ambapo mchezo wa awali utakaopigwa saa 8: 00 mchana, utaikutanisha Kagera sugar dhidi ya Gwambina. Na baadaye Coastal union atamenyana na Azam Fc majira ya saa 10:00 jioni.
Ijumaa ya tarehe 12...
Pelé, ambaye jina lake halisi ni Edson Arantes do Nascimento, (alizaliwa Oktoba 23, 1940, Três Corações, Brazil), alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa Brazil, wakati wake labda ndiye mwamichezo maarufu zaidi na labda anayelipwa zaidi duniani kwa wakati ule. Alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya...
Mpaka muda huu wamekwisha tandikwa magoli 4 kwa nunge nyumbani kwao , Magoli yanaweza kuongezeka hadi kuvunja rekodi ya Southampton .
Aibu kubwa sana !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.