Afisa habari wa Simba SC Haji Manara maarufu kama De La Boss ni moja kati ya watu maarufu sana katika michezo kwa sasa.
Haji sio tu ni maarufu katika michezo bali ametokea katika familia ya mpira, kingine kilichomfanya Haji Manara kuwa maarufu sana ni hali yake ya kujiamini zaidi ukilinganisha...
Kaimu Kocha wa Simba SC Selemani Matola mara baada ya Michuano ya Mapinduzi Cup alipohojiwa na Press alisema kuwa amewapa Wachezaji likizo mpaka Ijumaa ya Wiki hii (22 January 2021) kisha watarejea Mazoezini upesi sana ili kujiandaa kikamilifu kabisa na Michezo Klabu Bingwa ambayo inaanza mapema...
Vijana wawili wanaokuja juu katika sekta ya uchambuzi wa soka nchini. Wote wamebahatika na wanafanya kazi katika taasisi ambazo ni miongoni mwa brand kubwa ukizungumzia nyanja ya michezo na habari kwa ujumla hapa nchini. Napenda sana kuwasoma na kuwasikiliza lakini hadi leo sijaweza...
Jana saa tatu usiku katika kipindi cha Sports Roundup kinachorushwa na Clouds FM, mchezaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga ambaye siku hizi ni mchambuzi wa soka, Amri Kiemba alitoa madai mazito, ya kushtusha na yenye sura ya kijinai yanayoendelea kwenye soka letu
Kiemba alisema makocha...
Tangu niliposikia tumeingia fainali ya under 17 na Uganda nilijua tuna nafasi ya asilimia 30 tu za kushinda, na kweli tumebamizwa 3 na hii ni baada ya juzi juzi tena kupoteza fainali nyingine kwa hawa hawa Waganda.
Hata ile fainali ya kufuzu Afcon ni wazi tulipewa tu na Uganda kwa ujirani mwema...
Wakuuu Habari za wkend,
Kuna hili suala la Wachezaji wanaokaa Benchi pale Simba yaani Akina Ajibu, Ndemla, Morrison, Gadiel nk nk
Lakini kule Yanga napo kuna akina Zawadi Mauya, Ninja, Wazir Junior, Boxer nk nk.
Kwanini Wachambuzi wa Soka wanaumizwa na kukereketwa saana na kuwasema zaidi...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimeja sana Afrika na hatufanyi maajabu?
Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya...
Nilikuwa namsikiliza katika kipindi cha sports arena Mwina Kaduguda akizungumza kuhusu swala la Meddie Kagere kupata nafasi hafifu ya kucheza kwa siku za hivi karibuni. Mashabiki wamekuwa wakilalamika inakuwaje the best striker anakosa nafasi katika kikosi. Point kubwa aliyoizungumza ni Afya ya...
Habari za majukumu wana JF!
naomba msaada wa kisheria nini hasa cha kufanya.
Jana mida ya saa tano asubuhi, nilipokea sms kutoka vodacom ikiniambia kwamba kuna jambo kubwa sana la kisoka litatokea kesho (yani leo), mechi ya simba na plateau united watacheza.
niliiamini sana hio sms ya vodacom...
Simba mnatia huruma sana.
Mnataka tuwape baraka, tuwashangilie then mkishinda muanze kututukana na kutuita majina ya ajabu!
Jana tumewapokea kwa kishindo Plateau na leo tutakwenda uwanjani kuwashangilia.
Mbona mnapokwenda Iringa kucheza na Lipuli hamshangai kuona Wana Iringa wakiwageuka wenzao...
Nikiangalia televisheni za wenzetu za michezo hasa za super sport wenzetu huonyesha Marathon mbalimbali kwenye miji lakini hapa kwetu Azam kupitia chaneli zake imekuwa ikijikita zaidi kwenye soka na kidogo siku za karibuni wamekuwa wakituonyesha masumbwi.
USHAURI WANGU KWENU
Hizi jogging na...
Pamoja na mimi kuwa mshabiki wa team nyingine ila hili wanalofanya Plateau ni soka la Kizamani sana. Fitna na Hujuma havisaidii mpira.
hawa ni kuwatibu kama wydada vs mamelodi waarabu wa morroco wamesha nyooka kabisa siku hizi wamepunguza ujanja ujanja huu.
nakumbuka mechi za msimu uliopita...
Nimekaa nimewaza sana. Hivi sisi Watanzania kuna wachezaji wengi wa kutoka nchi za nje wanakuja kucheza huku kwetu, na wengineo wana viwango vizuri tu ila timu zao za Taifa wanakotoka hawapati nafasi.
Je, sisi Watanzania kupitia TFF hatuwezi kuona hii ni fursa ya sisi kuanza kuwashauri baadhi...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania mimi binafsi ninadhani;
Kuna umuhimu wa klabu moja wapo kubwa (Simba au Yanga) kuondoka Dar na kuhamia majiji mengine makubwa kama Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka katika Tanzania...
Hakuna ubishi jana tumeionyesha Afrika na Dunia kuwa sisi soka bado saana. Mambo machache niliyoyaona mimi kweny emchezo wa jana na ambayo yamekuwa yakijirudia rudia:
1. Wachezaji hawana kabisa misingi muhimu ya uchezaji mpira mfano jinsi ya kumiliki mpira, kufanya maamuzi yenye tija na malengo...
Soka ndio mchezo unaopendwa zaidi na watu wengi hapa Tanzania. Mchezo wa soka hauna itikadi, lakini chini ya utawala wa CCM, mchezo wa soka umelazimishwa kuwa wa kiitikadi za kisiasa.
Kwa uchache hizi ni baadhi ya viashiria vya wazi vinavyofanywa na CCM ambavyo vimewakera sana wapenda soka hapa...
KUHUSU SOKA LETU NCHINI TANZANIA, TUJADILI KUOKOA MPIRA WA MIGUU NCHINI(TATHIMINI).
Bandugu naitwa Don Nalimison Mwanamziki na mdau wa soka Duniani Mimi sio kocha Bali kocha ambaye ni shabiki. Tuangalie namna gani tumekwama kufikia Malengo hata ya kuingia Kombe la Dunia na makombe ya Afrika...
KUHUSU SOKA LETU NCHINI TANZANIA, TUJADILI KUOKOA MPIRA WA MIGUU NCHINI(TATHIMINI).
Bandugu naitwa Don Nalimison Mwanamziki na mdau wa soka Duniani Mimi sio kocha Bali kocha ambaye ni shabiki. Tuangalie namna gani tumekwama kufikia Malengo hata ya kuingia Kombe la Dunia na makombe ya Afrika...
Sio kwa hawa mlio nao aisee. Nimewafuatilia mara nyingi hawana viwango pia wamekuwa wanatabia ya "kucopy na kupaste".
Kwa mfano leo walikuwa na mada ya kwanini ligi yetu inakuwa na magoli machache kuliko ligi nyingine wakaenda mbali kwa kulinganisha ligi yetu na uingereza yaani majibu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.