Jamani mimi ningewekeza kwenye mashirika ambayo yanadeal na masuala ya msingi kama Maji na Nishati maana ni lazima hivyo vitu vitumike na wananchi wa kawaida kwa hiyo faida yake ni ya uhakika maana uhitaji upo
==================================
SERIKALI imepanga kuorodhesha hadi mashirika...
Katika hatua inayoweza kubadilisha kabisa mwonekano wa hisa za NMB kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bodi ya Wakurugenzi wa NMB Bank Plc imependekeza mgawanyo wa hisa (Share Split) wa uwiano wa 1:10, ambapo hisa moja ya kawaida itagawanywa kuwa hisa 10 za kawaida.
Pendekezo hilo...
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.
NB: Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.