soko la hisa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna taasisi 5 za Serikali zinatarajiwa kujiunga na Soko La Hisa la Dar Es Salaam. Ni taasisi ipi uko tayari kuwekeza?

    Jamani mimi ningewekeza kwenye mashirika ambayo yanadeal na masuala ya msingi kama Maji na Nishati maana ni lazima hivyo vitu vitumike na wananchi wa kawaida kwa hiyo faida yake ni ya uhakika maana uhitaji upo ================================== SERIKALI imepanga kuorodhesha hadi mashirika...
  2. JamiiForums Tanzania NMB Yapendekeza Share Split ya 1:10. Fursa Mpya kwa Wawekezaji wa Soko la Hisa Tanzania?

    Katika hatua inayoweza kubadilisha kabisa mwonekano wa hisa za NMB kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bodi ya Wakurugenzi wa NMB Bank Plc imependekeza mgawanyo wa hisa (Share Split) wa uwiano wa 1:10, ambapo hisa moja ya kawaida itagawanywa kuwa hisa 10 za kawaida. Pendekezo hilo...
  3. JamiiForums Tanzania Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

    Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia. NB: Kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…