soko la kirumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania RC Said Mtanda: Mkandarasi anayejenga Soko la Kirumba - CHINA RAILWAY GROUP ameanza kuingiza malipo ya NSSF ya Watumishi wake

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefafanua hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums aliyelezea kuwa Mkandarasi raia wa China anayejenga soko hilo hawasilishi michango ya Wafanyakazi wake katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Mtaka amesema “Ukweli ni kuwa kampuni hii tangu kusajiliwa na...
  2. JamiiForums Tanzania RC Mtanda aagiza NSSF kufuatilia madai ya michango ya wafanyakazi wanaojenga Soko la Kirumba kutowasilishwa kwao

    Baada ya Mdau kuwasilisha kero yake kupitia JamiiForums kuwa licha ya kuwa wanakatwa pesa kwaajili ya mfuko wa hifadhi ya Jamii (NSSF), michango yao haifikishwi, na hata walioachishwa kazi nao hali yao ilikuwa hivyo na kuitaka mamlaka husika kufuatilia, RC Mtanda ametoa maagizo. Pia soma KERO -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…