Huku vijijini tumevuna mahindi
Mahindi yapo mengi mno.
Wakulima hatuna wanunuzi wa mazao haya ya mahindi, Sasa tunavuna na msimu wa kupanda unaanza tunapanda tukiwa na mahindi mengi ndani
Tunawekeza pesa, nguvu na muda kulima ila tukivuna tunakosa bei na hata wateja wa bei ndogo hatuwaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.