Habari zenu wakuu,
Binafsi kilomo kwangu kipo damuni hio inatokana kwanza Mimi ni mzaliwa wa morogoro lakini kubwa zaidi ni mtoto wa mkulima lakini hio haijanifanya kuwa mkulima Bora.
So nipo mbele yenu wakuu naomba msaada wa kimawazo, kule kwetu moro tunalima mazao mengi Sana ya umwagiliaji...
4G SOLAR PTZ CAMERA
Available, built in Simcard slot, mobile view access, no need of electricity or wifi/ internet
Free delivery
Condition: New
Location: Kinondoni Studio
Price: 495,000/=
Call/ Whatsapp 0656190449/ 0745146690
Ni kutokana na mgao wa kimyakimya unaoendelea kwa kishindo jijini mwanza,wanyonge wananunua solar na generators kwa kasi kabisa
Wafanyabiashara wa bidhaa hizo wengi wanaishukuru awamu ya sitaa kwa opportunity hiyo na wameahidi
kulipa Kodi kwa kutoa risiti halali
Habarini,
Nimenunua solar watt 40 sasa nataka kununua betri na chager controller.
Naomba ushauri wa kitaalamu kwa anaefahamu hapo natakiwa kununua betri yenye ukubwa gani na hiyo chager controller yenye ukubwa gani ambavyo vitaendana na ukubwa wa hyo solar watt40?
Wadau
Nimepewa nafasi ya kuwa sole distributor wa solar solutions/products kutoka wa manufacturer wa china, mimi sina utaalam wa hiyo makitu . Sasa kabla ya kufanya any commitment na kuingia mkataba na manufacturer, nahitaji mtaalam ambaye tunaweza tukashirikiana (partners in business)...
Nisaidieni kumuuliza Rais Samia atuambie zile Solar tony blair aliahidi atagawa kwa shule zote za sekondari za vijijini imeishia wapi?
Aliahidi toka mwaka 2013 hadi leo hatujaona kitu
Pia alipewa tuzo kama mtetezi bora wa mashoga kwa miaka 30 mfululizo
Habari kamili hiyo...
Salamu Wakuu,
Je, ninahitaji solar power yenye ukubwa gani inawasha Tv, kingamuzi, pasi, fridge na taa 5?
Nimechoka luku.
Naomba kufahamishwa tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.