TWISEHENI YA HAKI NA AMANI.
Hapa Mungu ametupitisha sote katika kujifunza Umuhimu wa Haki katika jamii.Taifa stars wamenyimwa Haki ili kulinda Amani na Utulivu wa Wamoroco.
Nimefurahi somo hili gumu lakini limekuja kwa wakati sahihi . Nimeona hata wale wanao himiza Amani katika hili wanadai...