Somo la HAKI na AMANI kwenye mchezo wa TANZANIA Vs MOROCCO

Somo la HAKI na AMANI kwenye mchezo wa TANZANIA Vs MOROCCO

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
14,521
Reaction score
46,663
TWISEHENI YA HAKI NA AMANI.

Hapa Mungu ametupitisha sote katika kujifunza Umuhimu wa Haki katika jamii.Taifa stars wamenyimwa Haki ili kulinda Amani na Utulivu wa Wamoroco.

Nimefurahi somo hili gumu lakini limekuja kwa wakati sahihi . Nimeona hata wale wanao himiza Amani katika hili wanadai refa alitakiwa kwenda kwenye VAR ili haki ionekane imetendeka.

HAKI ndiyo Msingi wa Amani...ule uchungu ambao watanzania wamepitia kwenye mchezo huu ndiyo uchungu ambao akina TUNDU LISSU wanapitia kilasiku, tujifunze kutenda Haki hata wale viongozi wa dini wanaolilia Amani wamepata somo kuwa Haki ndiyo msingi wa amani.
​
20260105_103742.jpg
 
TWISEHENI YA HAKI NA AMANI.

Hapa Mungu ametupitisha sote katika kujifunza Umuhimu wa Haki katika jamii.Taifa stars wamenyimwa Haki ili kulinda Amani na Utulivu wa Wamoroco.

Nimefurahi somo hili gumu lakini limekuja kwa wakati sahihi . Nimeona hata wale wanao himiza Amani katika hili wanadai refa alitakiwa kwenda kwenye VAR ili haki ionekane imetendeka.

HAKI ndiyo Msingi wa Amani...ule uchungu ambao watanzania wamepitia kwenye mchezo huu ndiyo uchungu ambao akina TUNDU LISSU wanapitia kilasiku, tujifunze kutenda Haki hata wale viongozi wa dini wanaolilia Amani wamepata somo kuwa Haki ndiyo msingi wa amaniView attachment 3525518
Tundu Lissu mdomo wake ndio adui yake ulimi wake umemponza kwa kuongea vitu vyenye kuhatarisha amani na uwepo wa JMT.

Mnaandika mada za kumtafutia huruma lakini kiongozi mmoja mjeuri sana anayedhani anao ufahamu kuliko kila mtu anayesimama pembeni yake.
 
Kwa hiyo auliwe au tumfanyeje Tundu lisu? Kati ya Tundu lisu na yule aliyemfunga na baadae kuleta majeshi yaliyouwa maelfu ya binadamu hapo tarehe 29 nani anachafua amani?
 
Kwa hiyo auliwe au tumfanyeje Tundu lisu? Kati ya Tundu lisu na yule aliyemfunga na baadae kuleta majeshi yaliyouwa maelfu ya binadamu hapo tarehe 29 nani anachafua amani

TAL alihamasisha uasi kwenye jamii kwake yeye lolote lifanyike afe yoyote yule ilimradi nchi waweze kuipata waliowatuma, jamaa wa EU.

Samia kwa mujibu wa katiba anayo haki ya kulinda raia na mali zao, anao wajibu wa kupambana na uasi muda wowote unapojitokeza ndani ya JMT.
 
Nyie vichogo acheni zenu, nyie na mpira wapi na wapi? Kwanza hamuna ajili ya mpira kazi munawasa sembe tu na bia. Mfano Goli la wazi alilokosa Msuva mwisho wa upeo wa akili yake ndipo ulipoishia 🤣🤣 Watanganyika bana
 
Kwa hiyo auliwe au tumfanyeje Tundu lisu? Kati ya Tundu lisu na yule aliyemfunga na baadae kuleta majeshi yaliyouwa maelfu ya binadamu hapo tarehe 29 nani anachafua amani?
Aliyeleta majeshi alifanya hivyo kulinda uwepo wa Taifa linaloitwa Tanzania.

Lissu alitaka kuliharibu kabisa hilo Taifa. Alitaka mpaka muda huu tuwe kama Somalia.
 
Back
Top Bottom