Nashauri wizara ya elimu ifute somo la uraia, badala yake wanafunzi kuanzia chekechea hadi chuo kikuu wafundishwe somo jipya la mama.
Napendekeza somo lenyewe liitwe
"Mama Samia - Nyota inayong'aa toka Kizimkazi"
Napendekeza Tundu Lissu, Humphrey Polepole na Josephat Gwajima waingie kwenye...