Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Nashauri wizara ya elimu ifute somo la uraia, badala yake wanafunzi kuanzia chekechea hadi chuo kikuu wafundishwe somo jipya la mama.
Napendekeza somo lenyewe liitwe
"Mama Samia - Nyota inayong'aa toka Kizimkazi"
Napendekeza Tundu Lissu, Humphrey Polepole na Josephat Gwajima waingie kwenye kamati ya maandalizi ya vitabu vya kufundishia somo hili ili kuwakomoa wazungu na wote wenye kijicho dhidi ya mama yetu kipenzi.
Asanteni.