State Organization for Marketing of Oil (SOMO) is an Iraqi national company responsible for marketing Iraq's oil. It is headquartered in Baghdad, Iraq.
Kila mtu ana somo ambalo halikuwahi kuwa rahisi kwake. Labda kwa wachache ambao ni exceptional wanaweza wasiwe walikutana na hii situation.
Nimekumbuka enzi zangu nipo chuo. Katika harakati zangu za kuijenga future yangu nikabahatika kutua kwenye chuo kimoja wapo kikubwa hapa nchini kwa course...
Mchakato wa kuanzishwa somo la historia ya Taifa letu umepingwa sana na wafuasi wa vyama vya upinzani hapa nchini.
Inashangaza kwa Raia kutotaka kujua historia ya Taifa lake.
Jambo la kusikitisha mno katika baadhi ya mijadala hapa jamvini unakutana na comment ya mtu ambaye anasema kwamba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
UPDATES:
Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake.
HOTUBA YA RAIS...
ajira
atcl
bungeni
changamoto
haki
historia
hotuba
hukumu
kikuu
kufanya
madaktari
magufuli
mahaba
maji
mama samia
moyo
nchi
ndege
ngumu
rais
samia
samia suluhu
serikali
somo
viongozi
wabunge
wanawake
wengi
Siku chache zilizopita mkuu wa majeshi amewafukuza vijana wapatao 854 waliofuzu mafunzo ya kijeshi kwa kushinikiza waajiriwe na jeshi kupitia mgomo wa kufanya kazi na maandamano.
Mimi binafsi siamini wanajeshi watumiwe kwenye miradi yeyote ya kujenga uchumi na kazi zozote za kiraia na polisi...
Serikali imesema kuanzia Julai Mosi itaanza kutoa mafunzo kazini, ikiwamo mbinu za ufundishaji wa somo la hesabu.
Hatua hiyo ni baada ya Serikali kubaini kuwa kuna walimu hawamudu kufundisha baadhi ya mada katika somo hilo.
Pia ili kuboresha ufaulu wa somo hilo watachapa na kusambaza vitabu...
Mwalimu wa KUJITOLEA wa somo la English Language anahitajika. (Posho kwa mwezi ni 150,000/= tu.)
Sifa kubwa
1. Awe ni jinsi ya KE.
2. Elimu ya Stashahada au Shahada ya Elimu.
NB: Shule ipo Ifakara Morogoro
Mawasiliano. 0621538913.
KARIBU SANA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.