Shamba linauzwa Lipo kijiji cha Nambendo Songea, kilomita 100 kutoka Songea mjini, lina ukubwa wa ekari elfu mbili (2000) lina hati.
Shamba linafaa kwa mazao mchanganyiko kama utavyoona kwenye picha, mpunga, Alizeti, mahindi, pilipili, mikorosho, n.k picha uzionazo ni mazao yaliyolimwa kwenye...