songea

Songea is the capital of Ruvuma Region in southwestern Tanzania. It is located along the A19 road. The city has a population of approximately 203,309, and it is the seat of the Roman Catholic Archdiocese of Songea. Between 1905 and 1907, the city was a centre of African resistance during the Maji Maji Rebellion in German East Africa. The city is poised to experience significant economic growth in the near future as the Mtwara Corridor opens up in a few years.

area was a restricted zone and occasionally suffered aerial attacks by Portuguese forces. Its remoteness until 1985 when a new British funded road was opened linking it northwards to the road and rail hub of Makambako.

Songea became a municipality in 2006.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa: Barabara ya Songea - Njombe - Makambako Kujengwa Upya

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inatarajia kuanza kujenga upya barabara ya Songea – Njombe - Makambako kwa kiwango cha lami kutokana na barabara hiyo kuwa nyembamba na muda wake kuisha. Bashungwa amesema hayo Wilayani Ludewa, mkoani Njombe wakati akizungumza na...
  2. GENTAMYCINE

    Je, baada ya Muuaji Rasta Kato Kukamatwa Songea je, JWTZ litawaomba Radhi wale Raia 75 iliyowakamata Kawe na Kuwapiga vibaya?

    Katika huu Uzi Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu Wajuvi wa Masuala Mtambuka Tanzania.
  3. Analogia Malenga

    Barabara ya Njombe kwenda Songea haina viwango vya barabara za mkoa

    Kila mwak napenda kuzurura mikoa mbalimbali nchini ili kujionea hali ya nchi yangu, safari hii nimeeda Songea kupitia Morogoro, Iringa, Njombe. Ukitoka Dar barabara zina unafuu sana hadi Njombe, ila kutoka Njombe kwenda Songea barabara imekaa kama barabara ya wilayani ilitotengenezwa na TARURA...
  4. LIKUD

    Niende Newalla au Songea?

    Nataka kufanya utalii wa ndani. Niende wapi kati ya Newala au Songea? Sijawahi kufikia Songea nasikia warembo wa Songea warefu halafu wana misambwanda kama ya ndugu zao wa South Africa. Kuhusu Newala nataka utundu wa watoto wa kimakonde. Nimeshaonja wamakonde wawili lakini wamezaliwa mjini...
  5. S

    Kampuni ya SuperFeo Ruti ya Songea-Arusha-Moshi mbona mmeanza nyodo na maringo? Au kwa vile mko wenyewe?

    Hii kampuni ya SuperFeo ilianza safari zake za kutoka Songea-Dodoma-Arusha mwanzoni mwa mwaka jana 2002. Tulifurahi sana maana ilikuwa ni ukombozi wa safari ya moja kwa moja kutoka kusini mwa nchi yetu mpaka kaskazini. Kwa wiki huwa na safari 2, walianza vizuri sana, ulikuwa unakata tiketi...
  6. H

    Tahadhari: Wizi wa betri za magari Songea

    Hapa Songea kumezuka mtindo wa vibaka kuiba Betri za Gari hasa usiku ukiwa umeegesha nyumbani, JE, KUNA UWEZEKANO WA KUFUNGA TRACKING DEVICE KWNY BETRII ILI KUSAIDIA KUKAMATA WEZI?
  7. D2050

    Leseni za Biashara kukwama kutolewa Songea, wahusika wanatengeneza mazingira gani?

    Manispaa ya Songea inashindwa kutoa leseni za biashara kwa wakati, kumekuwa na tatizo hilo yapata mwezi sasa wafanyabiashara wanalalamikia Ofisi ya Afisa Biashara Manispaa ya Songea kushindwa kuwapa leseni za biashara zao. Maafisa Biashara Wasaidizi wamekuwa wakiwajibu Wafanyabiashara...
  8. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kujenga Masoko Matano ya Mazao Halmashauri ya Songea

    WAZIRI JENISTA MHAGAMA ASEMA SERIKALI KUJENGA MASOKO MATANO YA MAZAO HALMASHAURI YA SONGEA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho awaomba wananchi kuchangamkia fursa za uchumi zitakazo chochewa na ujenzi wa Masoko ya Mazao yanayotarajiwa...
  9. Nukes

    MSAADA TUTANI: Ninaomba msaada namna ya ku-apply Songea Teachers' College

    NB: Mada husika ipo kwenye paragraph ya pili. Heshima kwa wanajukwaa wote, baada ya salamu naomba niende moja kwa moja kwenye jambo la msingi. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2022 na ninahitaji kujiunga na chuo cha Ualimu cha Songea (Songea Teachers' College) ili nisomee Diploma kwa...
  10. saidoo25

    Mkazi wa Songea amuandikia barua Spika wa Bunge kupinga bandari kuuzwa

    BRAHIM JEREMIAH S.L.P 602 SONGEA 06/06/2023 KATIBU WA BUNGE, OFISI YA BUNGE 10 BARABARA YA MOROGORO S.L.P 941, 40490 TAMBUKARELI DODOMA YAH. KUPINGA AZIMIO LA UBINAFSISHWAJI WA BANDARI KWA KAMPUNI YA DP WORLD Ndugu Husika na Kichwa cha barua hapo Juu, Mimi ni Mtanzania ambaye nimeguswa na...
  11. Zingzingzing

    Songea: Wanafunzi waliopatiwa dawa za meno za msaada watakiwa kurudisha mara moja

    Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi Songea. Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja. Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.
  12. Mohammed wa 5

    Wana Songea, mbona mji wenu haukui? Tatizo ni nini?

    heshima kwenu Wana JF wote Nipo Songea kwa matembezi kidogo,nimekuja kwa ajiri ya mazao kipindi hichChcha maharage,na wilaya hii nishawahi kuishi Sana miaka hiyo mzee alikuwa anafanya kazi hapa Songea. Kwa kiasi chake Songea imebadirika lakini sio Sana ni baadhi ya maeneo. hasa pale mjini...
  13. Stephano Mgendanyi

    Songea Kunufaika na Mradi wa Maji wa Bilioni 145

    NW MAJI ENG. MARYPRISCA MAHUNDI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA - SONGEA KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA 145 BILLIONI Naibu Waziri wa Maji Mhe. Eng. Maryprisca Mahundi (Mb) tarehe 10 Machi, 2023 akiwa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ameshuhudia utiaji saini mkataba mradi mkubwa wa Maji wenye...
  14. Nyendo

    Erasto Nyoni asaidia kuwalipia nauli MajiMaji ya Songea

    Beki wa kati wa Simba SC Erasto Nyoni baada ya Timu ya Majimaji ya Songea kukwama jijini Dar es Salaam kwa kukosa pesa ya nauli na deni la Hoteli juzi alifanikiwa kuwasaidia kulipa na kuwapa Tsh. Milioni moja ambayo wamefanya nauli ya kurejea Songea. Erasto ni Mwenyeji wa Songea na ameongea...
  15. K

    Mradi wa golf Songea manispaa umekwama wapi?

    Habari Wana jamvi,mwaka 2021 halmashauri ya Manispaa ya Songea ilikwenda kata ya Subira iliyopo Manispaa ya Songea na kuhitaji ardhi zaidi ya ekari 300 kwa maelezo kuwa wana jenga mradi mkubwa wa mchezo wa golf. Mradi huo ungehusisha ujenzi wa five star hotels, shopping mall na vivutio vingine...
  16. C

    Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

    Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo. Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
  17. M

    Nahitaji kusafirisha vitu vya ndani kutoka dar es salaam kwenda Songea!

    Naombeni msaada ni njia gani cheap na salama naweza kutumia Kusafirisha vitu ya ndani kutoka Dar es salaam Hadi Songea!🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Na Bei za usafirishaji zipoje?
  18. BigBro

    Mhudumu wa Songea

    Nilifika Songea nikaaa bar moja inaitwa Serengeti, mhudumu aliyekuwa ananuhudumia nikamuona anazungumza na dada moja mzuri sana. Yaani mzuri elewa hivyo. Nikamuita nikamwambia yule dada uliyekuwa unazungumza nae nimemuelewa niitie, akasema yule ni mdogo wake mtoto wa baba yake mdogo ni mwalimu...
  19. Lady Whistledown

    Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

    Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania Hukumu hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki mbele ya Jaji Dk. Yose Mlyambina kwenye Masijala Ndogo ya Songea. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Seif Chombo, Abdallah Chombo, Mohamed Kamala, Athumani Chombo, Omary Mbonani na Rashidi Ally...
  20. Frustration

    Songea umeme unakatwa zaidi kuliko mji wowote Duniani kwa sasa

    Kila siku umeme wanakata na sasa ni masaa manne yamepita toka wakate na hakuna hitilafu yoyote bali ni maelekezo tu ya mtu mmoja. Anapiga simu na umeme unakatwa na akijisikia anapiga tena simu kuwasha umeme. Baa anatamba eti nitakata umeme, watu hauwezi, aah umekatwa sasa. Nimeota haya leo
Back
Top Bottom